Wewe nadhani akili huna,Bila kulinda maadili hao wanasiasa wataongozaje taifa lililoharibika. You need to erase political mindset.Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
Ingekua inaniuma ningefanya?Shoga ushajiita Top lazima ikuume
Wewe ni bwabwa bila shaka,Mapungufu kila mtu anayo kwa nini ushikilie mapungufu yake badala ya kuuunga mkono jema analofanya.Analinda maadili.
Anayalinda kwa kutukana watu.
Anayalinda kwa kuongea matusi mitandaoni.
Ameshapost videos akielezea alimlala mama wa mtoto wake kwenye treni.
Huyu hana tofauti na civilian coin. Mtu anahitaji msaada wa akili mnamvalishia suti matatizo yake.
Kwa akili zako fupi umeshindwa kujua maadili yanaanzia kwenye siasa safi,Wewe nadhani akili huna,Bila kulinda maadili hao wanasiasa wataongozaje taifa lililoharibika. You need to erase political mindset.
Upo mkoa gani tukutane ili uniite bwabwa huku tunaangaliana?Wewe ni bwabwa bila shaka,Mapungufu kila mtu anayo kwa nini ushikilie mapungufu yake badala ya kuuunga mkono jema analofanya.
You Better watch your back brother,
If you don't watch you are finished.
Bro, na wewe upo kwenye harakati?Nitamchangia
We umemuona lissu TU,wengine hapana unahisi yeye ndo anateseka Tanzania mzima,wangapi wanapitia magumu na wewe upo nao mtaani na hujaliWatu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
Unaona sasa kuangaliana tena. Confirmed you are bwabwa.Upo mkoa gani tukutane ili uniite bwabwa huku tunaangaliana?
Swala la maadili nalenyewe tusubiri Lisu mpaka atoke,.Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
Sawa. Mimi nimesema tukutane, hii keyboard isikutie ujasiri, wewe kama unajiamini taja mkoa tukutane uniite bwabwaUnaona sasa kuangaliana tena. Confirmed you are bwabwa.
Lissu na dudu baya wote n wetu ,hakuna atakayeachwa na wa watanzania mkuuu...Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
Mkuu ww umeudhuria mara ngapi mahakamani kwenye kesi ya lisu toka ianzee ???Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
Hamna bro sipo kwenye harakati ila nitamchangia konki Master aachwe freeBro, na wewe upo kwenye harakati?
Si bora kwenda kutalii kuliko kuchangia?
Mambas...Hamna bro sipo kwenye harakati ila nitamchangia konki Master aachwe free
Hauchangii hata buku au sioMambas...
Kila la kheri Bro
Nimesikia waandaji wa tamasha la 30 tayari wameshalipia hiyo fine achilia mbali michango ya wabunge na ma tycoon wengine kama nyie.Hauchangii hata buku au sio
Kumbe hili Suala ni la kisiasa?We umemuona lissu TU,wengine hapana unahisi yeye ndo anateseka Tanzania mzima,wangapi wanapitia magumu na wewe upo nao mtaani na hujali