Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
sasa kwani TAL kasema anaogopa kunyongwa? mbona mnajisemesha, endeleeni Mkamyonge, ila ole wenu kamba ya kumyongea ikatike, kama zile risasi 17 zilivyoshindwa kuondoa UHAI wake!
 
Dudubaya angeeka Mahakamani kupinga hiyo faini, maana sioni kama msemo wake unaenda kinyume na maadili na utamaduni wa mtanzania. Makonda anataka kuleta mambo ya Jiwe akiongea kitu basi tafsiri yake kuwa mtu huyo achukuliwe hatua kwa sababu tu ana chuki naye au hajapenda.
Ujumbe wa Dudubaya (You better watch your back) una shida gani, watanzania inabidi tumshambulie Makonda tuishambulie na BASATA.

Hadi sasa najiuliza kwa nini Waziri Mkuu hajapiga marufuku hiyo faini kwa Dudubaya.

Makanisani siku hizi watoto wanafundishwa bila kificho tena kwa kutamka na wao kutamka
"Kulinda pupu zao mtu mwingine asichezee.
"Pupu wamepewa na mwenyezi Mungu kwa ajili ya kunyea na sio vitu vingine.
 
YOU better WATCH your BACK.
 

Attachments

  • Screenshot_20260927_090622_Chrome.jpg
    167.5 KB · Views: 9
Siyo kuchangia vyoo kujengwa mijini, shule na mahospitali?
Siyo kuchangia ujenzi wa ma library kila kata?
Siyo kuchangia ujenzi wa miundo mbinu jimboni?
Siyo kuchangia ....

Kweli wabunge tunao!
 
Maadili anayopigania Lissu ndio maadili ambayo yanatakiwa kwenye jamii,
Unataka maadili gani zaidi ya kuzuia mauaji yaliyotokea oct29

Akili umeweka matakoni
Hujui ata maana ya kutetea haki, amani na kulinda maadili kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…