WanaJF,
Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..
Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.
Jionee mwenyewe:
View attachment 307387
Mtoto wa Bulembo ana mdomo wa denda....
Daah!
Weka picha ya full body. Wengine hatushobokei sura, tunaangalia kama 'amejibeba'
Nyoa na mavuzi kabisa! Lazima nikakuwashie tuu..! No means
hahaha goodmorningkama huyu ndio mzuri kuliko wabunge wote wa kike,basi bungeni kuna wabunge wabaya sana wasiotazamika.
Hivi jaman Irene Uwoya yupo bungeni au vipi???
Si alipita kwenye kura za maoni.Afuate nini bungeni......?
Chakula cha nani.? asiyejipenda amshobokee
Mumewe ana mawe mpaka anakera..