Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
sura sio kigezo cha uzuri weka full pics tuangalie kma yaleee mambo yetu yapo......mpododo wa haja anao neema za allah
Unataka kunifanyia massage eeh? Vuta subira ....kesho zamu yako..!
Mkuu huyo mbona namfaham huku chini ni flat screen
Bona kaluwa, sijui nipasue Jipuuu!? Namjua kindakindaki
Mzuri sana
Wakuu nawaona mpo kwenye Singeli mixture kigodoro.
Kabila gani uyu bona?
WanaJF,
Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..
Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.
Jionee mwenyewe:
View attachment 308684
Anaoneka bibi kabisa huyu...Ok anyway tumetofautiana kuangalia Uzuri wa mwanamke.
WanaJF,
Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..
Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.
Jionee mwenyewe:
View attachment 307387
how sure are you....si ajabu miguu yake ni myembamba kama ya mbu besides beauty is relevant. Mimi sioni uzuri hapo ukizingatia hiyo picha ni ya ujanani sana. Picha yake ya sasa ni huyo kulia.
- Badala ya kujadili uwezo wake na amefikaje hapo alipo tunajadili uzuri wake? DDuh sometimes JF inasikitisha sana!!
le Mutuz