Hicho chama kimejaa wendawazimu na wachumia tumbo tupu,View attachment 1693986
Naona kamoshi kanafuka. Tusubiri kuona moto. Matayarisho yalianzia uchafuzi wa serikali za mitaa.Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Mkuu vipi ujue wanayetaka kumuongezea ni Magufuli sio mbowe ujue?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hicho chama kimejaa wendawazimu na wachumia tumbo tupu,View attachment 1693986
Mkuu hii account wame hack?
Mtaani kwako wananchi walio wengi tena wale wasiokosa kupiga kura wanasemaje?
Mimi huku kwangu niliwahi kutana na muuza matunda akawa na mawazo kama ya huyo mbunge, nikamuuliza sababu akanijibu rais amewanyoosha wababe.
Nikamuuliza unadhani wewe umepata faida gani kwa wao kunyooshwa? Akanijibu, tuheshimiane, sasa tuwe sawa![emoji28][emoji28][emoji28]
Nikamwambia hayo unayotamani yeye rais ameshayakataa kwa hiyo wewe chapa kazi tuu kwaajili ya familia yako
Watanzania walio wengi mitazamo yao ni zaidi ya unavyowadhania
Salama kipara kipyaHabari za muda huu Mama D!
Kama kawaida namshukuru Allah kuendelea kutupa afya njema!Salama kipara kipya
Kwema huko?
HahahahahahahahahaKuna jamaa nimekaa naye hapa anasema anaomba hata akatize tu muda uliobaki kwa kuwa mateso yameshakuwa too much, namuambia asubirie tu dawa iishe asitake kukatiza DOZI.
AmenKama kawaida namshukuru Allah kuendelea kutupa afya njema!
Nipo personal hatuhitaji ushawishi wa kuvunja katiba!
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Lakini bado anaendelea kuvunja katiba
Kuna Mitanzaia sijui imelaaniwa na nani...??Mwendawazimu yule!
Afadhali umemshauri kama akiuvaa huu mkenge atakuja kujuta siku za mbeleniWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Tupo tuliomtuma mm n mmojawapoWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka