Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

Nimeshameza anghaaaaaa.....
Hicho chama kimejaa wendawazimu na wachumia tumbo tupu,View attachment 1693986
20210203_093602.jpg
 
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Naona kamoshi kanafuka. Tusubiri kuona moto. Matayarisho yalianzia uchafuzi wa serikali za mitaa.
 
Habari za muda huu Mama D!
Mtaani kwako wananchi walio wengi tena wale wasiokosa kupiga kura wanasemaje?

Mimi huku kwangu niliwahi kutana na muuza matunda akawa na mawazo kama ya huyo mbunge, nikamuuliza sababu akanijibu rais amewanyoosha wababe.

Nikamuuliza unadhani wewe umepata faida gani kwa wao kunyooshwa? Akanijibu, tuheshimiane, sasa tuwe sawa![emoji28][emoji28][emoji28]

Nikamwambia hayo unayotamani yeye rais ameshayakataa kwa hiyo wewe chapa kazi tuu kwaajili ya familia yako

Watanzania walio wengi mitazamo yao ni zaidi ya unavyowadhania
 
Jamani siku zoote tusemeni INSHAALLAH kwa tafsiri ya haraka haraka ni : ni panapo majaaliwa yake Mwenyezimungu,nyiye munapanga yenu na hamjui ALLAH kapanga nini.
 
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Listening to a standard 2 absconder at school ...
 
Yule ni mzee au Bazazi mmoja tu alievimbiwa pesa za walipa kodi, haya majitu sijui huwa yanaokotwa wapi
 
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Afadhali umemshauri kama akiuvaa huu mkenge atakuja kujuta siku za mbeleni
 
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka

Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani

Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Tupo tuliomtuma mm n mmojawapo
 
Back
Top Bottom