Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

 
Huyo mbunge hakutumwa na yeyote kwa kuwa alichakachuliwa kura!
 
Wamuongezee muda akatawale familia zao.Tumemchoka mno,tunangojea mi4 hii iishe asepe.

Watu waelevu na wazalendo tunaomba kila siku aondoke muda wake uishe haraka.
jiandae kisaikolojia, usije ukapata BP hapo mbeleni mambo yakiwa tofauti na maoni yako
 
Deo ana truck zaidi ya Mia hiyo thaman yake itakuaje?
How much business anatengeneza kwenye usafirishaji
Bado biashara nyingine ambazo hatujui mm na wewe

Huyu n miingoni mwa mabilionea wachache sana kutoka Mkoa wa Njombe
 
Deo ana truck zaidi ya Mia hiyo thaman yake itakuaje?
How much business anatengeneza kwenye usafirishaji
Bado biashara nyingine ambazo hatujui mm na wewe

Huyu n miingoni mwa mabilionea wachache sana kutoka Mkoa wa Njombe
Mkuu acha uongo mia hazifiki unampamba sana deo utadhani wewe ndio unamfahamu peke yako au ni mumeo nini? Maana unampamba wakati mtu mwenyewe ana makando kando tele pale makambako na tuhuma lukuki za uharamia.
 
Hatua ya kwanza ni kuongeza from 5 to 7 na ikifanikiwa hiyo itakuwa ni kuongeza mingine tu kwa maana tamaa iliyo muingia mwanzo hadi anatamani kuongeza kutoka 5 hadi 7 ndiyo hiyo itakayo endelea kumsukuma hadi mwisho .
 

Demokrasia bandia na hatari hatari inayolikabili Taifa
 
Huyo hakusimama yeye ni remote imeshikwa na mtu huko nje
 
Anakimbiza upepo.
 
Fahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah People

Shule yako uliyosoma imekupa hela kiasi gani?
Reasoning yake ipo chini Sana kuzidi wa darasa la nne
 
Mawazo yake kwa faida yake ila katumwa ila sio na Wapiga kura wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…