Fahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah PeopleDarasa la nne b..dereva wake form four
Shule yako uliyosoma imekupa hela kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah PeopleDarasa la nne b..dereva wake form four
Fahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah People
Shule yako uliyosoma imekupa hela
Fahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah People
Shule yako uliyosoma imekupa hela kiasi gani?Hapana usikuze mambo deo sanga hajaufikia ubilionea bado ina ni milionea hapo sawa na hapo anapambania ulinzi na usalama wa huo umilionea wakeFahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah People
Shule yako uliyosoma imekupa hela kiasi gani?
jiandae kisaikolojia, usije ukapata BP hapo mbeleni mambo yakiwa tofauti na maoni yakoWamuongezee muda akatawale familia zao.Tumemchoka mno,tunangojea mi4 hii iishe asepe.
Watu waelevu na wazalendo tunaomba kila siku aondoke muda wake uishe haraka.
Mkuu acha uongo mia hazifiki unampamba sana deo utadhani wewe ndio unamfahamu peke yako au ni mumeo nini? Maana unampamba wakati mtu mwenyewe ana makando kando tele pale makambako na tuhuma lukuki za uharamia.Deo ana truck zaidi ya Mia hiyo thaman yake itakuaje?
How much business anatengeneza kwenye usafirishaji
Bado biashara nyingine ambazo hatujui mm na wewe
Huyu n miingoni mwa mabilionea wachache sana kutoka Mkoa wa Njombe
Hatua ya kwanza ni kuongeza from 5 to 7 na ikifanikiwa hiyo itakuwa ni kuongeza mingine tu kwa maana tamaa iliyo muingia mwanzo hadi anatamani kuongeza kutoka 5 hadi 7 ndiyo hiyo itakayo endelea kumsukuma hadi mwisho .Mpango wa CCM upo kwa hiyo huyo Mzee haoti bali ansema kilichomo ndani ya chama chake - Kwa hiyo tunakwenda kubadili na kuwa na mihula miwili miwili ya miaka saba saba, tunanza na Mzee tunamuongezea miaka 2 hadi 2027, hapo tunafanya uchaguzi Mzee ruhsa tena kugombea baada ya marekebisho ya katiba kwa hiyo tunampa tena 7 inafika 2034 afu anamalizia na muhula wa mwisho wa miaka 7 hadi 2041
Jumla atakuwa ametawala kwa miaka 5 + 5+ 2+ 7+ 7 = 26
Atamzidi Mwalimu kwa mwaka mmoja Mwalimu yeye aliyetawala miaka 25 - kwa hiyo kauli ya Mwalimu kwamba hakutakuwa na Rais atakayetawala muda mrefu kuliko yeye itakuwa imevunjwa rasmi na chama chake !! Asikudanganye mtu Urais ni mtamu aisee !!
CCM oyeeeeeeee
Bunge oyeeeeeeee
Maendeleo hayana vyama !!
Nipo nje na maisha mazuri tu, sina mpango wa kurudi Tanzania. So hayanihusu ndiyo.Mkuu mbona umeongea kana kwamba wewe haya hayakuhusu?
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
😆😆 Alikimbilia kugombea u chairman ktk club ya simba wana chama waka kumbuka kauli zake izo waaka mlima ❌Huyo ni version mpya ya kesi+nkamia
Ova
Huyo hakusimama yeye ni remote imeshikwa na mtu huko njeWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Anakimbiza upepo.Mliambiwe mkaandamane mkasema waache waende wao na familia zao. Sasa wao wapo nje ya nchi wanakula bata sa hivi nyie mliobaki kwenye shithole mnazidi kunyooshwa. Hakuna mbunge kachaguliwa na wananchi, wamepachikwa pale na jiwe. Kaeni mnyooshwe mtajifunza na nyie kudai haki yenu jiwe litawakamua left and right hadi there’s nothing left
Reasoning yake ipo chini Sana kuzidi wa darasa la nneFahamu pia kuwa n bilionea kaajili mamia ya Watanzania kwenye kampuni yake ya usafirishaji Jah People
Shule yako uliyosoma imekupa hela kiasi gani?
Mawazo yake kwa faida yake ila katumwa ila sio na Wapiga kura wakeWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka