Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Kuna mambo mengine hufanyika kwa sababu ya kukariri, uwezo mdogo wa kupambanua na kudhibiti hali kwa akili ya kawaida tu.Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Vitu vingi huanzia kwenye kimoja kimojaKuna mambo mengine hufanyika kwa sababu ya kukariri, uwezo mdogo wa kupambanua na kudhibiti hali kwa akili ya kawaida tu. Vitu vya matumizi ya mtu mmoja mmoja haviathiri kodi kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na faida ya kisiasa na umoja wa kitaifa kivitendo.
Mbona wapo waliokua wanasema mizigo inaenda Zambia au Malawi ilihali mafuta hayo hayo yakaishia kuuzwa maeneo ya mipakani Ili kukwepa Kodi Fulani Fulani maana mzigo ni transit. So wizi wa Kodi hautegemei msamaha wa Kodi huko zenji.Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Sio Tv tu juzi Kuna mtu kabeba sukar kilo 5 kutoka unguja kufika bandarini anaambiwa eti either alipe faini au aiache sukar yake bandarini, yule msichana akawaambie chukueni mm Sina pesa wakajidai kumrudishia,Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
YWakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Hapana bnana kwa sukari kilo 5 sio kweli!!juzi juzi tu nimetoka unguja nimebeba kilo tano,na wengi tu walikuwa nazo cjaona hata mmoja akiulizwa juu ya kuilipia!!Sio Tv tu juzi Kuna mtu kabeba sukar kilo 5 kutoka unguja kufika bandarini anaambiwa eti either alipe faini au aiache sukar yake bandarini, yule msichana akawaambie chukueni mm Sina pesa wakajidai kumrudishia,
Na huyo mbunge angeongelea na issue ya kutoa mazao mfano ndizi kutoka bara kwenda Zanzibar refer case ya yule mama mjane aliyeporwa ndizi zake bandar ya Zanzibar wakapewa wafungwa
Nimeona kwa macho yangu.Hapana bnana kwa sukari kilo 5 sio kweli!!juzi juzi tu nimetoka unguja nimebeba kilo tano,na wengi tu walikuwa nazo cjaona hata mmoja akiulizwa juu ya kuilipia!!
Mbona JPM katoka kawilaya kadogo ka Chato tena yenye watu chini ya laki moja halafu akaongoza wilaya zote zenye watu mil. 60. JK katoka wilaya ndogo ya Bagamoyo pia kaongoza wilaya zote. Mkapa katoka Kijiji cha Lupaso akaongoza vijiji vyote.Kero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Kwani huko zanzibar hawatalipa kodi?Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Mkuu kwa hilo nalikataa,mimi karibu kila mwezi lazima niende unguja narudi na sukari kilo tano,cjawahi hata kuulizwa na mtu.Ila kwa sasa imepanda hadi 12500-13000 ,toka 10,000 ,Hata haina haja tena ya kununua huko.Labda kama ni zaidi ya kilo 5!!ila kwa kilo tano.HAPANA.Nimeona kwa macho yangu.