Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

Mwakn tutaend nao sawa asee

Unalipa bandari ya Zanzibar na Bandar ya dar
 
Hakuna muungano nchi hii, yule dada na ndizi zake wakamsumbua huko Zanzibar hata sijui kama alifanikiwa kuupata ule mzigo wake..
Ulitaifishwa na kuharibiwa ili usilete magonjwa!.
 
Yaani mpaka leo mtu anaagiza TV zanzibar!?kwamba huku hamna?au bei?kwa tofauti gani
 
Yaani mpaka leo mtu anaagiza TV zanzibar!?kwamba huku hamna?au bei?kwa tofauti gani
Tofauti ni kubwa sana
Mfano tv ya inchi 60 tofauti ni shilingi 250,000/=
Si kidogo aisee
Hapo umeshatoa gharama zote mzigo upo nyumbani
Nb
Bandarini umelishia tu
 
Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad

kama nchi ni moja, kwanini kule kuna rais (sio Rais), pia watu wa bara hawaruhusiwi kununua/kumiliki ardhi kule wakati wao wanamiliki ardhi kwetu, kwanini wana chuki sana na wabara wakati wao ndio wanafaidika zaidi kuliko sisi wabara? au wanadeka?
 
Na anae toa TV bara na kupeleka ZNZ vp nae analipishwa!!!?
 
KilKero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Kero haipo Zanzibar,ukienda zanzibar huulizwi kitu,ukirudi huku Kwa wachaga unakomeshwa.Ila Kwa vile una chuki imekujaa upumbavu umekufanya mpofu.
 
Hakuna muungano nchi hii, yule dada na ndizi zake wakamsumbua huko Zanzibar hata sijui kama alifanikiwa kuupata ule mzigo wake..
Wazanzibar huwa hawana sudi na kero za wabara wanaoenda huko bali wao wanatoa kero zao na kutaka wanufaike zaidi na Muungano.

Mbara nenda kanunue plot huko zenji uone shuruba yake. Lakini wao wanamiliki mashamba na vilima bara
 
Hapana bnana kwa sukari kilo 5 sio kweli!!juzi juzi tu nimetoka unguja nimebeba kilo tano,na wengi tu walikuwa nazo cjaona hata mmoja akiulizwa juu ya kuilipia!!
Jambo kama halijakupata wewe usifikiri kwamba halipo.mradi umesikia watu wakilizungumzia jua lipo au lilikuwepo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom