Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Maskini hata kuandika hujui MEMKWA wewe kasome uishie hata darasa la pili tu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Aliondoa gekul karanga,hata akina selasini na komu hawajaonyesha ujasiri kama wa huyu mtoto sijui kavimbiwa mahatage gani?
Uyu lijualikali awe na akiba ya maneno aisee jamaa mlopofu mnooo....
 
Mbona Kama anajihami huyo mhuni lijualikali?? kila mtu atajieleza kadri ajuavyo, bila michango ya wabunge waliomtangulia angekuta Kuna magari pale makao hadi kanda?? chama kimesambaza pikpki kila Jimbo la uchaguzi piki piki 3..mbona hizo hataki kujua zimepatikana vp??? Magari zaidi ya 40, matreta makubwa aina Valment 10 , pawatira 60...je hvyo vitu vyote ina maana vimeshuka kutoka kwa mungu??? Anyway acha ajifurahishe na awafurahishe mapimbi wenzie lkn yatapita na chadema itaendelea kuwa imara na hatutarudi nyuma zaidi zaidi tunasonga mbele... chadema imepitia mengi magumu na mazito lkn imeendelea kuwa imara... Lijualikali nakuambia tu kaka , This is chadema mkuu...achana na chadema mkuu utaumia bureeeee, ohooo
 
Lijualikali anajua mengi ya hapo Ufipa sema tu hana kifua!
Kama kashindwa kuyasema na kuyatetea huko, hayo yaliyojaa kifuani mwake yatabakia ni porojo tu, hata akijiliza hadharani. Chuki zake kwa Mbowe zitamtesa yeye mwenyewe.
 
Mkuu mambo ya uhasibu ni professional sio siasa, ni lazima uwe na elimu ndio uelewe.
Mfano N.A.O ina auditors professional kabisa na wametoa hati safi ila ww ambaye hta hujawahi ona financial statements za BAVICHA unadai kuna wizi!!

Hii nchi inapoelekea sio, tuheshimu wataalam na taasisi pekee yenye kinga ni ofisi ta CAG/NAO ndio maana inaaminika hta na upinzani. Kumbuka hta bajeti yake haipangwi na serikali!!

Hao TAKUKURU hawana hyo kinga ndio maana hta waliogopa kumshtaki Lugora!! Endeleeni tu kutumika siku akimalizana na CHADEMA mtanyooka
 
Wachaga kila kwenye upigaji wapo.

Na Mbowe akipona jeraha la kuanguka kwenye ulevi ataitwa Takukuru??
UVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…
 
Tuhuma zimetoka huko huko na kila tuhuma lazima ichunguzwe nyie mkipewa nchi mtakuwa watu wa namna gani

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wapo kisiasa tu, niambie kesi ya Mnyeti iliishia wapu?

Kesi ya Lugora iliishia wapi?

Kesi ya rushwa kamati za bunge ya huduma za jamii?

Uchunguzi issue ya makinikia na Tanzanite one?

Msifanye waTZ kma majinga hvi hawaoni, taasisi za umma zisitumike kuwalinda mafisadi wa chama tawala, hamlisaidii taifa!
 
Mimi pia Silinde na Rwakatare wamenisikitisha sana.
Rwakatare ameshughulikiwa sana akiwa anateswa na Mwigulu, nusura afie selo lkn leo amesahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuondoka Lijua Likali anaropoka kila aina ya uwongo kama Mwita Waitara, wenzie kina Shonza Kitilya na Waitara wamepewa vyeo, na yeye anatafuta kupachikwa mahala hiyo ni dili!!
Mhs Mbowe pole saana na Makamanda wote kuweni na moyo mkuu maana kunakaribia kucha!!
 
Moderator kama uzi huu uko separate kwanini ule wangu wa Rais wa Mbeya uliunganishwa ? naogopa kusema umefanya njama maana naheshimu sana Jf ila unapaswa kujipima mwenyewe
 
Moderator kama uzi huu uko separate kwanini ule wangu wa Rais wa Mbeya uliunganishwa ? naogopa kusema umefanya njama maana naheshimu sana Jf ila unapaswa kujipima mwenyewe
Dogo acha uoga.

Uzi huu unazungumzia mahojiano ya mbunge wa Kilombero mh Lijualikali na waandishi wa habari!

Taarifa hii inajitegemea na Lijualikali ni mbunge wa CCM usisahau hilo!
 
Dogo acha uoga.

Uzi huu unazungumzia mahojiano ya mbunge wa Kilombero mh Lijualikali na waandishi wa habari!

Taarifa hii inajitegemea na Lijualikali ni mbunge wa CCM usisahau hilo!
Nimemsitua moderator asije kuonekana analipwa na polepole , hata ule wangu ulihusu wanahabari kukanyagana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…