Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kati ya freedom zote duniani, the only absolute freedom ambayo haina mipaka ni freedom to think.Sasa Mayala hapa unajitetea nini na ukichoongea mbona ni kile kile, au hujui tafsiri ya maneno. Sijaona tofauti ya kufuta na kutosoma, ulikuwa unashindwa tu kutamka ifutwe, lakini ukiaangalia ulimi wako ulikuwa unaelekea huko
Tuliza mumkari,police wanafanya uchunguzi wewe footage za Cctv za nini mapema hii? Ila hoja yangu ni kuwa tunapotumia platform yoyote lazima tuwe tunaweka hoja zenye ukweli.Hoja yako ni nini hapa? Umesema huko twitter hakuna maoni bali genge la cdm wakiitukana serikali. Nimekupa mifano ya walichofanya bunge, unipe tofauti na michango kadhaa huko twitter. Sasa naona umegeuka na kusema tatizo ni kutokusema ukweli. Sina tatizo na kusema ukweli, nilitaka unipe tofauti ya michango kadhaa ya huko twitter, na kilichofanywa na bunge, ambayo ni taasisi rasmi ya umma.
Nimesema kuna CCTV camera, kwanini zisitolewe footage za tukio la Mbowe ili tujiridhishe na ukweli wa Ndugai &co? Badala yake naona unakwepa hoja yangu ya msingi na kutaka kunihamisha sehemu ambayo naweza kupata ukweli. Unakwama wapi boss?
Haya mahojiano hayahusu pesa za ruzuku inayopewa Chadema, fuatilia wanayoandika wenzako ndipo nawe uingie kwenye ligi.We jamaa unachekesha sana! yaani mtu aibe hela za umma halafu asisemwe eti kisa wewe utakua disappointed!! hell no!! lazima Takukuru wafanye kazi yao kwa uhuru na DJ awajibishwe.
Sikujua kama namjibu msoma magazeti kwa kupindua
Njaa ni kitu kibaya sana ndugu!Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......
Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.
Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
Jana baada ya kutoka kuhojiwa na TAKUKURU ulijitokeza kwenye vyombo vya habari ukitujulisha kuwa TAKUKURU wanamajibu yote kuhusu mahojiano wanayoyafanya kwa wabunge wa Chadema hivyo watakaodanganya watakuwa wanajisumbua! Ikiwa na maana ukweli uko upande wa waliotoka Chadema na si vinginevyo! Maneno hayo unataka kutuaminisha kuwa kinachoendelea ni igizo tu! Huenda wewe na wenzako mnaijua hata adhabu itakayopewa Chadema! Swali langu kwa Lijualikali, unataka kutuaminisha kuwa TAKUKURU imekwisha pewa maelekezo ya upande mmoja?
Mkakati wa kwanza ili ni kumnyamazisha mwenyekiti kwa muda.. Na wamefanikiwaTakukuru waache kupoteza muda kuwahoji kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema . Wsendeleze straight kwenye malengo yao kukusanya wanachohitaji toka kwa wabunge walionunuliwa wanaodai wamemkimbia mwenyekiti kwa uongozi mbovu. Madai ya Lijuakali na Silinde kwa Sasa yanaonekana Ni kisasi na chuki za kisiasa. Muda wote hawakulalamika na Wala hawakujaribu kutoa hizi tuhuma, iweje Sasa hawako kwenye good times na chama ndio waje na habari hizi.
Kila mmoja anaweza kuona Ni jinsi gani Takukuru wanavyofuatilia kitu ambacho tayari Wana maelekezo nacho. Yaani fedha zimewauma Sana kina Silinde nao Takukuru wsmejitupa wazima wazima kukagua. Mbona Hawa Takukuru hawajawakagua kuona Kama Hawa wabunge wasaliti toka Chadema wamepokea rushwa toka CCM. Wakague account zao na kupitia baadhi ya miradi yao.
Mkuu Tindo, kwanza nianze kwa kukushukuru, much respect, pili nimefarijika sana na ukosoaji wako, ni very objective, nami pia nikiri no one is perfect, na mimi pia I'm only human.Yeah, Mimi Ni mdau mkubwa wa hicho kipindi cha jicho letu ndani ya habari, tena sio kwa hizi promo zako ulioanza juzi humu jukwaani, bali ni kabla hata ya awamu hii ya tano kuingia madarakani. Nashukuru kwa siku za karibuni kwa ushawishi wako, umeongeza hamasa na watazamaji toka jf, kwa hili nakupongeza.
Paskali ulichozungumza kwenye kipindi kile kuhusu twitter nilikisikia, sitaki kujiweka kwenye mitazamo ya wengi walisikia nini, lakini mtiririko wako ilikuwa ni kuwa ndani ya twitter kuna michango inakukwaza, na inakukwaza sio kwakuwa ni wakosaji sana, bali kuna mtu au watu kadhaa wainaikosoa serikali bila staha au vyovyote utakavyoiweka ww.
Ni wazi ulikuwa negative kwa mwenendo wa michango ya watu kadhaa wa twitter dhidi vya serikali, na ulifikia hitimisho la twitter kuchukuliwa hatua, kwa ww kujiweka kwenye kundi la huu uzalendo academia, for the reason best known to you. Unaweza kutumia utetezi wowote uutakao maana ni haki yako, lakini hivyo ndio nilivyokuelewa na sina shaka na hilo.
Duh...!. Speechless, naomba yaishe, tuendelee na mengine!.Sasa Mayala hapa unajitetea nini na ukichoongea mbona ni kile kile, au hujui tafsiri ya maneno. Sijaona tofauti ya kufuta na kutosoma, ulikuwa unashindwa tu kutamka ifutwe, lakini ukiaangalia ulimi wako ulikuwa unaelekea huko
Duh...!.Mbona anawasha washa sana na chadema na mbowe?
Katiba ya CDM kama ilivyo katika taasisi nyingine za umma inampa Mwenyekiti wa chama mamlaka ya kubadili vifungu na matumizi ya fedha, labda tu kama na katiba nayo itakuwa haimtambui mwenyekiti au iwe ni batili, Lakini kwa mazingira yaliyopo hilo suala Mbowe ana ruhusa ya kikatiba hivyo hii kesi kwa Mbowe ni nyepesi kabisa! Ana uwezo hata wa kubadili matumizi ya RUZUKU ya serikali na hakuna wa kumpeleka kokote! Rejea madai mbalimbali ya tuhuma alizokuwa akituhumiwa Mrema NCCR Mageuzi na hata huko TLP kuhusu matumizi ya ruzuku, Mrema ameshatuhumiwa mara kadhaa kuhusishwa na kutafuna ruzuku lakini hakuwahi kushitakiwa na hata kwenye migogoro hiyo alishinda! Nachokiona hapa, Ni wabaya wa Mbwe na CDM wameamua tu kulikuza suala na kuliuza kwenye vyombo vya habari ili tu Mbowe na CDM wachafuke kwa faida ya wapangaji wa pale ikulu, lakini mwisho wa yote Mbowe hatokuwa na hatia labda tu kwa njama hizi za sasa za kubambikizana kesi za uhujumu uchumi!Ukiwa mpunbavu ni ngum sana kuelewa, kwani hizo pesa walizokuwa wanachanga zilikuwa zinatokana na kilimo cha mbunge, kumbuka zinatokana na malipo ya utumishi wa umma ingawa anaweza kuzitumi anavyojua yeye,
pia ukubuke azimio la kuchanga halikuwa la matumizi ya mtu kama mbowe bali zilitakiwa kutumika katika taasisi ya umma amabyo ni chama cha wananchi, kwa hiyo ikiingia kwenye mfuko wa chama haiwezi kuwa tena ya mtu mmojammoja na ndo maana iliwekewa utaratibu wa matumizi,
Na endapo yatabadilishwa matumizi basi kuliwekwa chombo cha maamuzi na sio mtu na genge lake.
Kwa hiyo ujue hizo pesa zikishachangwa kwenye chama sio za mbunge tena ni za umma na matumizi lazima yapangwe na kamati husika
Jitambue.
Huyo Mpuuzi Lijualibutu ndio kashajizika kisiasa HATOBOI Oct 2020.Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.
Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.
Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.
Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.
Chanzo: Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
Ataajiriwa na CCM!Huyo Mpuuzi Lijualibutu ndio kashajizika kisiasa HATOBOI Oct 2020.
Posho mkuu,Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm,......
Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.
Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
Sawa kashazoea Kulipwa na kukusanya zaidi ya milioni 15 kwa mwezi na mkopo wa zaidi ya mil 500 , huko CCM "Mtawezana" kumlipa?Ataajiriwa na CCM!
Uchunguzi unapofanyika si sahihi baadhi ya waliochunguzwa kutoa muelekeo wa matokeo ya uchunguzi, hii inaleta picha kuwa matokeo tayari yamepangwa, nadhani Takukuru alitakiwa kuwatahadharisha wahojiwa wote kutotoa kauli za mahojiano. Kwa bali ilivyo inaonesha kuwa Takukuru iko upande mmoja, Lijualikali amejuaje yaliyoko upande wa Takukuru kuwa inajua kilakitu? Refa anashirikiana na wachezaji wa upande mmoja.Tatizo hukuona kuna watu watakuwa walienda navielelezo ma wengine walienda na makoti tu, sasa ukionhea bila vielelezo wakati official documents zipo basi unaonkana ni porojo tu,
Kuna swali moja ti hata wewe unawez kuulizwa,
Je uliwahi kujua kama Chadema wana ma trekta ya kulimia mashamba? Au uliwahi kulisikia katika sera zao?
Lakini hayo matrekta ni mali ya chadema
Na wakibisha basib yataifishwe.