Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

Mambo haya utokea kila awamu, siamini afanyalo Bashe ni lake pekee, na mambo yako wazi na unaona baadhi ya wabunge wanajaribu kumuosha, mie Bashe amenitibua kitambo uwezi kutafuta mapato kwa mazao ya chakula yaendayo nje hadi kukosa soko,

Awamu ya 6 ni ya mafisadi
 
Hakuna kijana jeuri mpina ni mnafiki na mzandiki Genge La mwendazake. Alikuwa anachoma nyavu za wavuvi na kuwafilisi wacha karma ifanye kazi
 
Hakuna kijana jeuri mpina ni mnafiki na mzandiki Genge La mwendazake. Alikuwa anachoma nyavu za wavuvi na kuwafilisi wacha karma ifanye kazi

Mchungaji Msigwa nae amenunuliwa na mwendazake?
 
Kama Mwananchi wa kawaida ninatoa ushauri kwenu kama ifuatavyo:-
(1) Katika uamuzi wenu kuweni na hofu ya Mungu.
(2) Mjue fika kuwa Bashe ana kosa. Kosa la kulidanganya Bunge, Kosa la kutumia Makampuni hewa, kosa la harufu ya rushwa.
(3) Mhe. Mpina ana kosa la kuongea na Waandishi wa Habari kabla wasilisho lake halijajadiliwa na Bunge.
(4) Asilimia kubwa ya wananchi wanafuatilia suala hili la sukari wako nyuma ya Mhe. Mpina.
(5) Uamuzi wenu uwe wa HAKI na usimuonee mtu vinginevyo aidha CCM itabomoka na mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi. Wapinzani wanaweza kuchukua ajenda hii na kumwaga sumu kwa wananchi na CCM ikawa na hali mbaya.
(6) Tendeni HAKI na sisi wananchi tuliopo nje huku tunawafuatilia.
Kongole sana ndugu koryo1952 ,umeandika mambo ya msingi sana.
Tatizo ni hao wanaopaswa kutenda haya, hawana mpango wa kuyatenda.
CCM "imebaka" taasisi na vyombo vyote vya uendeshaji nnchi.
 
Safi kabisa MwanaCCM mwenye ubongo.

Wachumia tumbo wa kijana na manjano hawatakuelewa kabisa wao kazi kulamba viatu na matako ya bwana zao ili wapate kula.
 
Nahisi hayo maneno ya Mwl.Nyerere yatakuwa yamefichwa sana, na wewe mleta mada umejitahidi sana kuyapata. Mamlaka zilizopo hazitaki vijana waone hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom