Mambo haya utokea kila awamu, siamini afanyalo Bashe ni lake pekee, na mambo yako wazi na unaona baadhi ya wabunge wanajaribu kumuosha, mie Bashe amenitibua kitambo uwezi kutafuta mapato kwa mazao ya chakula yaendayo nje hadi kukosa soko,
Yq 5 ya watekaji na waporaji?Awamu ya 6 ni ya mafisadi
Mpina ni mwizi kama wezi wengineHuyu Mpina samaki kwa ruler ana msadifu vipi Mwalimu,kwa kupewa ranch na Mafia wa sukari kule Kagera?
Itakuwa dully labda nasikia dully misifa siku hizi ndio kinaraSativa ametekwa na nani?
Msigwa alihamia lini ccm??Mchungaji Msigwa nae amenunuliwa na mwendazake?
Kongole sana ndugu koryo1952 ,umeandika mambo ya msingi sana.Kama Mwananchi wa kawaida ninatoa ushauri kwenu kama ifuatavyo:-
(1) Katika uamuzi wenu kuweni na hofu ya Mungu.
(2) Mjue fika kuwa Bashe ana kosa. Kosa la kulidanganya Bunge, Kosa la kutumia Makampuni hewa, kosa la harufu ya rushwa.
(3) Mhe. Mpina ana kosa la kuongea na Waandishi wa Habari kabla wasilisho lake halijajadiliwa na Bunge.
(4) Asilimia kubwa ya wananchi wanafuatilia suala hili la sukari wako nyuma ya Mhe. Mpina.
(5) Uamuzi wenu uwe wa HAKI na usimuonee mtu vinginevyo aidha CCM itabomoka na mnafahamu mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi. Wapinzani wanaweza kuchukua ajenda hii na kumwaga sumu kwa wananchi na CCM ikawa na hali mbaya.
(6) Tendeni HAKI na sisi wananchi tuliopo nje huku tunawafuatilia.