Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
wewe na Lizabomu huwa mnawashwa sana
 
Ila kiukweli kwa sasa kuwa chadema ni ujasiri sana..maana wengine tuligombana hadi na walezi wetu kwa kujifanya tuna misimamo dhidi ya wezi na mafisadi wa nchi hii..leo hii aibu tupu
 
Amwage....kamwaga Dr slaa sembuse yeye.....
 
Aondoke Tu. Wanaume wazima,wanajiita makamanda,wanamkimbia mdada mrembo,beauty with brain. Mnazira kikao cha bajeti mwezi mzima? Tuliwachagua kufanya nini?
 
Hiki chama kinawasemaji wengi duh
 
ntahakikisha vijana wana pata ajira, na wanaendelea na masomo maana wanateseka -2015 wakati wa kampeni

vijana wale ni vilza watafute kwa kwenda 2016
kuna watoto wa viongozi walipata zero na wapo chuo kikuu tutawafukuza 2016
mtoto wa kiongozi aitwaye jesika aonekana Udom akiwa na cheti cha zero ya form foo 2016
Hatutoi ajira yoyote kwa muda wa miez miwili 2016
nimewachunguza hawa ma disii ninawajua kwa majina nawapa ajira ya udisii 2016
disii akataa kazi asema ataendelea kuwa meneja kanda ya ziwa. naye alichunguzwa? 2016
makada wa chama tena wasio na sifa nawapa ajira za udasi, 2016..
wanaolalamika hawana hela walizoea vya bure.. 2016

.................................. nk............. nk......

kufikia 2020 nadhani watu watakuwa wamebadiri misimamo , maana hawajui mkuu anachosema huwa anmaanisha au ni 'mizuka"
 
Mkuu mbona una wasi wasi sana?
 
Soma hiki kibonzo.
Msitu wenye nyasi za wastani unaitwa NYIKA.
Na kama mtu niwakabila fulani utasema:
Mchaga
Mmachame
Mnyiramba.
Je anaetoka kwenye kabila la WANYIKA angeitwaje?
Je umeshamjua mbunge mwenyewe?
Teh Teh
 
siasa ndivyo zilivyo na wala sioni la ajabu hapo
 
Sasa kama yule dk alibwaga manyanga na hakutikisa chochote, huyo anajisumbua bure tu!!...
 
Sasa tusimpangie muda na tarehe ya kuongea hii ni nchi ya demokrasia!

Kila siku tunakesha na kulala tukiomba ni lini tamko la mheshimiwa la kilo moja ya sukari itaanza kuuzwa kwa sh. 1800,we unaamka na kutuletea porojo kila siku.OK,kwani Dr. Slaa alivyoondoka amepunguza nini au ameongeza nini kwenye maisha yangu au yako?Walishatimka wanasiasa wakongwe sembuse Mnyika?hayo maajabu.
 
Mkuu kaanzishe uzi wake nitakujibu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…