Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Umejuaje mkuu taarifa unazo?
Mimi nimeanza kuamini nyinyi ccm mnarogana mtu afe ili upate cheo wewe, hivi kusikia tu DC wa Babati kapata ajali na wengine wanasema kafa ndio umeamuwa kujitoa akili hivi ili kuvizia hiyo nafasi ya Udc wa Babati? Poor you.
 
Yeye ni nani hata apate umaarufu???? Acha kumpamba mtu. Kwame Nkuruma amekufa Ghana bado ipo! Patrick Lumumba amekufa Kongo bado ipo!! Mandela amekufa Afrika Kusini bado ipo!! Nyerere amekufa TZ bado ipo!! Sasa nani zaidi ya Nyerere nchi hii?? Acha propaganda zisizo na mashiko tena kwa mtu unayesema hana elimu ya kutosha na anaenda masomoni!!
 
Mkuu, asante kwa pole. Umeonyesha kujali.

Nasubiria mvua zianze kunyesha. Ila tatizo miti inakatwa sana. Naona jangwa tu. Mvua zitanyesha?
Mvua zitanyesha tuu usijali.
 
Aliondoka
Dk mihigo
Bado chama kilisimama
Kizuri zaidi
Huu sio wakati wa uchaguzi jimbo letu la kibamba lazima tushinde hata tukiweka jiwe
 
Hii nchi ina stress nyingi sn. By the way haina athari yoyote kwa mustakabali wa nchi yangu nzuri Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom