Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Tuendelee kumtafutia dk.Slaa jibu la swali lake.Lowassa ni liability ama asset??
 
Je, km Lowasa akirudi CCM vp utabaki chadema au nawe utarudi CCM as long as Lowasa karudi@_Iramba.
 
Kiukweli nasikitika kama mnyika atafanya hivo,lakini ni bora kuliko kubakia usipopapenda
 
Sio mimi bali nanukuu tu "UNAHITAJI KUWA NA ELIMU YA LUMUMBA KUMUELEWA NA KUMUAMINI MTOA MADA/ UZI"
 
Leo ndio mna Muona mnyika kama machachari!!!! Aondoke tu jimbo Tumpe Mtatiro!
 
nyie bwana mnajitekenya na kucheka wenyewe.... sasa hapa mtoa post umeona umeandika jambo la maana sana. pole yako
 
maiha magumu ya watu yatairahisishia ushindi UKAWA.
 
Hii ndio ccm ya Makufuli....!!?

Tuwe wakweli, Toka Lowassa na Jk kumaluza awamu yake ya uongozi ccm wamekuwa wepesi kuliko pamba.

Haiingii àkilini Chama tawala kujiimarisha kwa kusubiria upinzani kupasuka.

Kata ngunge alisema ccm imeishiwa punzi, wengi hawakumwelewa ila bado kidogo watamwelewa na tusubiri Magu akabiziwe uenyekiti.

Magu alipopewa kugombea uraisi alisema "Tanzania ya Makufuli" mean Tanzania ni Mali yake. Sasa ngoja apewe Uenyekiti wa chama, nadhani safari hii atawaambia chama ni Mali ya first Lady.....

Tusubiri
Kama nyinyi mlivyokua mkiota ndoto za mchana kuwa Ccm ingevunjika Dodoma kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais
 
Akiondoka huyo,basi tena.It was one mistake one goal but now one mistake, two goals.
 
Atakuwa ni yule kijana. Akijiuzulu sintashangaa kwa sababu ukimya wake unatisha.!
 
Ukweli unabaki kuwa uwepo wa Lowassa Chadema ni tatizo kwa "brand" ya Chadema na watetezi wa hiyo brand: e.g. Mnyika.
 
Mkuu, asante kwa pole. Umeonyesha kujali.

Nasubiria mvua zianze kunyesha. Ila tatizo miti inakatwa sana. Naona jangwa tu. Mvua zitanyesha?
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu wewe unajua kudeal na Magamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom