THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Tuendelee kumtafutia dk.Slaa jibu la swali lake.Lowassa ni liability ama asset??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nyinyi mlivyokua mkiota ndoto za mchana kuwa Ccm ingevunjika Dodoma kwenye mchakato wa kumpata mgombea UraisHii ndio ccm ya Makufuli....!!?
Tuwe wakweli, Toka Lowassa na Jk kumaluza awamu yake ya uongozi ccm wamekuwa wepesi kuliko pamba.
Haiingii àkilini Chama tawala kujiimarisha kwa kusubiria upinzani kupasuka.
Kata ngunge alisema ccm imeishiwa punzi, wengi hawakumwelewa ila bado kidogo watamwelewa na tusubiri Magu akabiziwe uenyekiti.
Magu alipopewa kugombea uraisi alisema "Tanzania ya Makufuli" mean Tanzania ni Mali yake. Sasa ngoja apewe Uenyekiti wa chama, nadhani safari hii atawaambia chama ni Mali ya first Lady.....
Tusubiri
Kwani mumeo mzee kagenzi alivyoacha kazi ya ulinzi pale cdm nini kilitikisika?Tusubiri! Umejuaje ni Mnyika? Una taarifa nini?
Mnajidanganya!Akiondoka huyo,basi tena.It was one mistake one goal but now one mistake, two goals.
Sijui ataibukia wapi.!Asepe tu
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu wewe unajua kudeal na MagambaMkuu, asante kwa pole. Umeonyesha kujali.
Nasubiria mvua zianze kunyesha. Ila tatizo miti inakatwa sana. Naona jangwa tu. Mvua zitanyesha?