Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
...AKWENDE ZAKE...KWANI CHAMA NI YEYE?....CDM IMARA ACHA AJIDANGANYE...
 
Kama Slaa aliondoka na hakuna alichobadili huyu hatuogopi kabisa
 
...AKWENDE ZAKE...KWANI CHAMA NI YEYE?....CDM IMARA ACHA AJIDANGANYE...
ajabu sana kwani huyu ndo atatikisa chama?
 
Let us wait and see. Kila mmoja ana haki yake ya msingi ya maamuzi kwenye demokrasia ili mradi asivunje sheria.

However will be a big threat to the opposition. Unless they believe that no one is more important than the other.
 
....anataka abembelezwe kwani yeye Toto Dogo...

~SHIME CHADEMA TUZIDISHE MSHIKAMANO~
 
Kumbe Mnyika amekuwa Lulu kwa magamba?nyie si mlimponda kuwa hakuenda shule?
 
Let us wait and see. Kila mmoja ana haki yake ya msingi ya maamuzi kwenye demokrasia ili mradi asivunje sheria.

However will be a big threat to the opposition. Unless they believe that no one is more important than the other.
Kweli kabisa!
 
Huyo jamaa yako..njaa kali....hapa anamuongelea mnyika.

Jamaa yangu anamchimba Mnyika.

Yaani yeye kwake chama cha Mnyika wakigombana itakuwa kama ile ya "vita ya panzi furaha ya kunguru."

Panzi wakigombana, ujue hapo kunguru anaanza kujikamatia panzi mmoja mmoja kiurahisi kabisa....
 
Wewe mwenyewe umeanzisha habari na wewe mwenyewe unajijibu na kurekebisha manake unacheka mwenyeww na unajitekenya mwenyewe..fanyeni kazi acheni kona kona za kiumbea
 
Kama Slaa aliondoka na hakuna alichobadili huyu hatuogopi kabisa

Chadema is no longer the same. Slaa alikuwa wa kipekee alijua kudeal na bongo za watu.. Kwa sasa sioni wa kuweza ilo naona kila mtu yupo too mechanical
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom