Mpiga Ulimi
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 704
- 337
Yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe..Mkuu si utulie sasa mbona una hangaika sana..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe..Mkuu si utulie sasa mbona una hangaika sana..?
Kuwa fair na nafsi Yako,Mbowe anaua chama tulichokipenda na kukipigania!! Lowassa ni laana na sio Baraka ndani ya CHADEMA.Mnajidanganya!
Hivi kutoka buku 7 imekuwa buku 2?Mijitu mingine yaani unaandika gazeti zima kisa kuingiza buku 2?
Waanzishe chama kipya tuSijui ataibukia wapi.!
Aliondoka Padri slaa...sembuse hiyo..magamba mchukuweni......AKWENDE ZAKE...KWANI CHAMA NI YEYE?....CDM IMARA ACHA AJIDANGANYE...
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu wewe unajua kudeal na Magamba
Huyo jamaa yako..njaa kali....hapa anamuongelea mnyika.Mkuu, umenichekesha pia.
Jamaa yangu namkubali. Tumeshajuliana lugha za kuongea. Ni kada kindakindaki, piga ua..
Kweli kabisa!Let us wait and see. Kila mmoja ana haki yake ya msingi ya maamuzi kwenye demokrasia ili mradi asivunje sheria.
However will be a big threat to the opposition. Unless they believe that no one is more important than the other.
Huyo jamaa yako..njaa kali....hapa anamuongelea mnyika.
Kama Slaa aliondoka na hakuna alichobadili huyu hatuogopi kabisa
Anaweza kwenda CCM.!Waanzishe chama kipya tu