SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wampige mawe hadi afeWananchi wakijua waliyemtuma bungeni ni shoga itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wampige mawe hadi afeWananchi wakijua waliyemtuma bungeni ni shoga itakuwaje?
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae
Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Inatuhusu nini sisi?Mtu nadhifu, msomi, mcheshi, mtoa hoja zilizoshiba, ila sasa neno "shoga" linamdhalilisha. Ukiambiwa ni huyu "hutaamini"
Najiuriza tu ile Sheria ya myaka 30 jera katungiwa Nani??Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae
Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Hata mimi naona tayari malengo ya promo yamefanikiwa.Nimeamini hili suala linapigwa promo kiaina.
Kwanini daily ni habari za LGBTQIA tu?
Tumwombe sana Mungu atujalie hekima ili tuweze kuwalea Watoto wetu vyema katika maadili mema.Hata mimi naona tayari malengo ya promo yamefanikiwa.
Mwanzoni mijadala ya ushoga ilikuwa mitandanoni. Ghafla ikaingia mitaani mfano vijiweni. Baadae hadi ofisi za umma watu wanajadili ushoga. Kwa sasa hadi bungeni.
Halafu unakuta huyo mama anapromo kwa kujihami eti atamnyonga mwanae.
Chakusangaza, ni watu wachache sana ndio wanakuja na suluhisho la ushoga na usagaji. Wengi ni kubwatuka tu wakati wana watoto nyumbani. Je, wanafahamu njia za kuwalinda watoto wao wasije kuwa mashoga na wasagaji? Kwani kuna mzazi anafurahia mtoto wake kuwa shoga na msagaji?
Kuna uzi humu jamaa alieleza jinsi alivyoingia katika ushoga, unaona kabisa hatari ipo hata kwa watoto wako kama haujui njia za kuwakinga.