Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga


Aanze na Betina na Mariam ..kabla hajaenda kwa wale wa c19
 
Dunia ya sasa inaelekea kutekwa na watu wenye mtazamo wenye kuruhusu binadamu kuchagua jinsia akiwa mtu mzima na baadaye kujibadilisha kama kinyonga..... Jee! tutaiga kama ilivyo kawida yetu waafrika au tutakuwa na msimamo utakao uokoa ulimwengu?....
 
Mtu nadhifu, msomi, mcheshi, mtoa hoja zilizoshiba, ila sasa neno "shoga" linamdhalilisha. Ukiambiwa ni huyu "hutaamini"
 
Najiuriza tu ile Sheria ya myaka 30 jera katungiwa Nani??
Tutafute Hera ndugu yangu
 
Nimeamini hili suala linapigwa promo kiaina.

Kwanini daily ni habari za LGBTQIA tu?
Hata mimi naona tayari malengo ya promo yamefanikiwa.

Mwanzoni mijadala ya ushoga ilikuwa mitandanoni. Ghafla ikaingia mitaani mfano vijiweni. Baadae hadi ofisi za umma watu wanajadili ushoga. Kwa sasa hadi bungeni.

Halafu unakuta huyo mama anapromo kwa kujihami eti atamnyonga mwanae.

Chakusangaza, ni watu wachache sana ndio wanakuja na suluhisho la ushoga na usagaji. Wengi ni kubwatuka tu wakati wana watoto nyumbani. Je, wanafahamu njia za kuwalinda watoto wao wasije kuwa mashoga na wasagaji? Kwani kuna mzazi anafurahia mtoto wake kuwa shoga na msagaji?

Kuna uzi humu jamaa alieleza jinsi alivyoingia katika ushoga, unaona kabisa hatari ipo hata kwa watoto wako kama haujui njia za kuwakinga.
 
Tumwombe sana Mungu atujalie hekima ili tuweze kuwalea Watoto wetu vyema katika maadili mema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…