Mbunge Mohamed Issa: Sikusema Bara waingie Zanzibar kwa Pasipoti

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Swahili Times

====

Pia soma:

"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde
Huyu pimbi toka Pemba kapigwa spanna mpaka katema bungo. Hawa ndiyo wanafanya Muungano uonekane haufai kumbe wao ndiyo hawafai
 
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde
Sasa kwanini hakusema Dodoma watu waingie na Paspoti?
Kwanini iwe Zanzibar tu ndio waende na paspoti wakati ni eneo ndani ya Tanzania kama hakukusudia watanganyika?
 
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde

View attachment 2979147
Huyu mwakilishi ni muongo sana. Wanaokaa kwenye maorofa aliyojenga Sheikh Abeid Aman Karume iwanakaa wafanyabiashara wakubwa na wengine ni waarabu ambao wanaishi Oman na Saudia. Mwananchi wa kawaida makazi yao ni kwenye nyumba za makuti, Mabatini, Manzese, Vikokotoni, Mangapwani nk
 
Huyo jamaa huenda hana akili sawa sawa, hajui hata kujitetea.
Kwanini hakusema watu kutokea Zanzibar wakitaka kuja bara ndio kuwepo na paspoti maana Zanzibar ni kisiwa na wahamiaji haramu kwa bahari wanaweza kuingia Zanzibar kirahisi maana mipaka ta bahari iko wazi sana na huwezi kuzuia moja kwa moja?
 
hata yule mbunge wa viti maalum toka mkoa wa Songwe hakuunga mkono kikokotoo kipya cha serikali bali alitetea watumishi wa uma. Ni watu tu mli mquote vibaya 😀
 
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde

View attachment 2979147

Swahili Times
Kwa mfano kungekuwa hakuna Muungano, na Znz imjaa kutokana kuzaliana, ni mikarafuu wamekata wenyewe Kwa sababu ya kutaka makazi.
Tatu kazi kuchukuliwa na wageni Kwa sababu wao wenyewe hawawezi.

Kazi za upishi kwenye mahoteli hawawezi, kazi za reception wavivu na lugha gongana, za U waiter , Mume amsuburi nyumbani, na Kazi zinataka ukae mpaka saa sita usiku. Na kukiwa na sherehe mpaka kumekucha.
Hivyo wangetengeneza Sera ambazo zitawasukuma watoto wao kuwa na bidii ya kusoma na hizo kazi, pili ujenzi wa maghorofa iwe ndio Sera zao.. wao wanapenda watalii, lakini watoa huduma ndio hivyo tena
 
hata yule mbunge wa viti maalum toka mkoa wa Songwe hakuunga mkono kikokotoo kipya cha serikali bali alitetea watumishi wa uma. Ni watu tu mli mquote
Hawa ndio baadhi ya wanasiasa wababaishaji wa Bongo. Wana kauli za ajabu ajabu. Akiona kalikoroga anakuja na kisingizio kuwa alinukuliwa vibaya......😡
 
Back
Top Bottom