Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka.

Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu achukie maombi na nyumba za ibada. Kwa mtu ambaye si mke au hawala wa shetani, si mtoto wa shetani, si shemeji wa shetani hawezi fanya hayo.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Bwana huwa anatoa Madini sana.. Mungu ambariki kwa maneno yaliyo mtoka humo kinywani mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…