Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu siyo kuwa Tajiri. Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Gandhi, Mandela, na watu wa sina hiyo walikuwa na elimu nzuri lakini hawa kuwa matajiri. Unadhani walikuwa wajinga?Elimu ina nguvu na nguvu ya elimu ni kutengeneza pesa km una una elimu na huna pesa ulienda shule kusoma ili iweje?
Pesa siyo mbadala wa elimu na pia elimu siyo mbadala wa pesa.Mimi nilidhani unatupa mbadala wa pesa kama pesa sio mbadala wa elimu basi mbadala wa pesa ni nini?
Unamanisha Nyerere alikua masikini Kinyatta alikua masikini?Elimu siyo kuwa Tajiri. Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Gandhi, Mandela, na watu wa sina hiyo walikuwa na elimu nzuri lakini hawa kuwa matajiri. Unadhani walikuwa wajinga?
Oyaa hujanielewa utajiri ninaousema mimi sio unaousema wewe mkuu tafakari tena mara ya pili au omba nikutoe tongotongoElimu siyo kuwa Tajiri. Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Gandhi, Mandela, na watu wa sina hiyo walikuwa na elimu nzuri lakini hawa kuwa matajiri. Unadhani walikuwa wajinga?
Unakwepa? Umeandika kuwa kazi ya elimu ni kumpatia mtu pesa, na hakuna haja ya elimu kama Huna pesaOyaa hujanielewa utajiri ninaousema mimi sio unaousema wewe mkuu tafakari tena mara ya pili au omba nikutoe tongotongo
Mkuu wewe umeishia darasa la ngapi mboni unauliza maswali ya kitoto? Hivi unaelewa sababu za hawa wanafunzi kwenda kusoma shule au haujui wanasoma shule ili iweje? Mfano wewe unamsomesha mwanao shule ili iweje aondoe tu ujinga kichwani halafu basi uendelee kuishi nae nyumbani kwako na kujitapa mwanangu ana masters ila nipo nae hapa nyumbani hana ajira yoyote?Unakwepa? Umeandika kuwa kazi ya elimu ni kumpatia mtu pesa, na hakuna haja ya elimu kama Huna pesa
Kwa akili kama zako itachukua miaka mingi sana Tanzania kuendelea.Tusidanganyane hakuna umuhimu wa elimu kama muhitimu Hana ajira ,kama wote mngejua kwamba baada ya kuhtimu hautokaa upate ajira maisha yako yote sidhani kama Kuna mtu angevumilia kutumia hyo miaka zaidi 25 for nothing
Wewe huyo hana level ya vichenji unavyosema!Kwanza huyo kasheku Hana Hela ya maana.kukosa kwake elimu ndiyo imemfanya aone Hivyo vi chenjichenji vyake ni tajiri.
Msukuma hela anayo ila anakera sana anavyodhani elimu haina maana.Wewe huyo hana level ya vichenji unavyosema!
Huyo kwa level ya Kibongo anahela kama anaweza kuwa na Gold Illustrations,Malori,Mabasi na majumba sehemu Kama Masaki,Capri point,Dodoma nk!
Huyo anakosa shule japo mtoto wake kamsomesha Ulaya na ndo anaendesha Kampuni zake!
Kwa hiyo huwezi kumbezq maana kwa watu waajiriwa sidhani kama kuna mbongo hata kama ni mkurugenzi wa Taasisi yeyote anamkuta Msukuma kwa hela!
Wewe huyo hana level ya vichenji unavyosema!Kwanza huyo kasheku Hana Hela ya maana.kukosa kwake elimu ndiyo imemfanya aone Hivyo vi chenjichenji vyake ni tajiri.
Nenda kwa P Diddy akupe pesa mkuu..Pesa inaweza kuwanunua wenye elimu,kuwaajiri wenye elimu,kuwatukana wenye elimu.
Elimu ni ufunguo wa maisha,unafungua ili mtu kupata pesa,sasa kama una elimu yako na hauna pesa,jiulize ulifungua nini ambacho asie na elimu hana
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?
Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Elimu ina nguvu na nguvu ya elimu ni kutengeneza pesa km una una elimu na huna pesa ulienda shule kusoma ili iweje?
Inawezekana ana elimu kupita wewe mmetofautiana tu. Wewe una makaratasi yeye ana uzoefu.Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?
Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Usibishane na wachawi...Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?