MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #61
Mkuu kama kazi ya elimu ni kumfanya tu aajiriwe naona hatutaelewana. Kazi ya elimu ni nyingi mno.Sasa kuna fundi mchundo hapo anasema hausomi ili upate pesa ili uajiriwe ili upate kazi kwa hio wale wanaoajiriwa wanafanya kazi bure si wanaingiza pesa kila mwisho wa mwezi?
Mfumo wa elimu yetu tuliyonayo kuanzia msingi mpaka chuo kikuu ni ya kumtengeneza mwanafunzi msomi kua mwajiriwa mindset yake inatengenezwa kwamba akimaliza kusoma ajira na kazi vipo mlangoni kwake kuanzia chini yaan hufundishwi kua mtu wa kujiajiri then kuna mtu anakwambia kwamba elimu yetu hailengi watu kusoma ili waajiriwe au wapate kazi na kutengeneza pesa who said that?
Sasa baada ya elimu nini kinafuata? Usizungumzie tu elimu kisha ukabakia hapo hapo what is next after that? Sawa una elimu nini kinafuata baada ya kuelimika umeshasoma umepata ujuzi umefuzu mafunzo nini kinafuata ukae tu na kujisifu mimi nimesoma na mfukoni huna pesa? Watu watakuona Fala na elimu yako una elimu halafu huna kazi huna ajira huna pesa unaonekana bogus tu