Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

Mkuu kama kazi ya elimu ni kumfanya tu aajiriwe naona hatutaelewana. Kazi ya elimu ni nyingi mno.
 
Mkuu kama kazi ya elimu ni kumfanya tu aajiriwe naona hatutaelewana. Kazi ya elimu ni nyingi mno.
Sasa hapo ndio tunapotoana kwenye reli nimekwambia mfumo wa elimu hivi unaelewa maana ya neno mfumo wa elimu au unataka niandike lugha gani uelewe kindengeleko?
 
Ma CCM yanaharibu Kila kitu kuanzia elimu afu yanaanza kujisifu elimu siyo kitu. Shame on them
 
Lakini elimu inanunuliwa na pesa siku hizi ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Nani aifanye iwe na maarifa?
 
Watu kama hawa wakiumwa ndipo inapaswa wawekewe pesa zao kama dawa wasipewe dawa au tiba za kisayansi na elimu zake
 
Ala! Kama unatafsiri elimu ni ile inampa mtu pesa kwa nini uulize elimu yangu badala ya kuuliza nina pesa kiasi gani. Halafu lengo Lako la kumpeleka mtoto wako shule ni la hovyo sana kwani ina maana kuwa mzazi akiwa tajiri na anajua kuwa mtoto wake atarithi utajiri huo basi hana haja ya kimpeleka mtoto shule.
 
Hapa naona naufukuza upepo basi mkuu tufanye wewe ni mwelewa zaidi kuhusu elimu, ujuzi, nidhamu, juhudi na pesa, furahi sasa
 
Mtu haoni umuhimu wa elimu halafu akifika hospitali anataka aonane na daktari bingwa. Huyo kasheku anayebeza elimu tuko hapa tuliosoma na mtoto wake shule fulani maarufu hapo geita ina ada kubwa kidogo
 
ELIMU inayoeleweka hauwezi kuipata bila pesa.

Msukuma anazingua kuponda Elimu Ila Elimu ya Tz bado ni duni Sana.
 
Elimu ya st kayumba
Vyuo vya Tanzania

Hii sio Elimu

Kidogo MTU amesoma nje amepata Exposure kubwa ya mambo huyo ndo anaweza kusema amesoma

Japo ukikosa Kware mawindoni hata ukipata bundi sio mbaya
 
Sasa Msukuma amekosa majibu, si angewambia pesa haikai kwa mjinga???
 
Sasa Msukuma amekosa majibu, si angewambia pesa haikai kwa mjinga???
 
Anawa hadaa wajinga.

Lkn ukweli mtaaa unatutesa wote wenye elimu na wasio na elimu.

Watu wote ambao hawakubahatika kupata elimu, walivopata pesa waliaajiri wasomi & kusomesha watoto wao.

DIamond mwenyewe pale ana watu wa Tax, Human resource, Wanasheria n.k hawa wote wamesoma na anacanya nao kazi na mambo yake yanaenda. Unazani lasaba wenzake wa tandale hajawaona.

Mwenye ufahamu na asikie
 
ELIMU inayoeleweka hauwezi kuipata bila pesa.

Msukuma anazingua kuponda Elimu Ila Elimu ya Tz bado ni duni Sana.
Mkuu hiyo unayosema elimu duni ndo inatuletea madaktari mahospitalini pamoja na wataalamu wengine. Sio vema kuponda sana ulicho nacho. Kuwa mzalendo
 
Watu ambao hawajasoma asilimia kubwa wana maisha magumu sana. Kina Diamond ni miongoni mwa wachache waliobahatika. Tafuta marafiki zako walioishia la saba na waliofika chuo linganisha maisha yao utaona wale wa chuo wana unafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…