Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

 
 
Huu ni msingi aliouasisi baba hakuwahi kujilimbikizia mali kama pesa mjumba ya kifahari ndani ya nchi wala nje ya nchi na kwa muda aliokaa madarakani angeweza sana maana watanzania wengi wakati huo hawakuwa na elimu na ufahamu kama ilivyo Leo kwa hiyo huu ni utamaduni aliouanzisha baba na tumeuiga na kuukubali maana huwezi kuwa rais wetu Hulu unajikusanyia mali kwa tamaa wewe na familia yako hatutakuelewa na hiyo ndiyo inayowafanya wafiche Mali wanazomiliki.
 
Zuzu sana
 
Kebbys
Opposite na NECTA offices, Bagamoyo rd.
 
Mwacheni alale pepa peponi Mzee wa watu
 
Msukuma pamoja na kwamba hajaenda shule ila jamaa yupo vizuri sana upstairs. Muone vilevile Yule jamaa yupo vizuri
Kinachomfanya mtu awe "in harmony with his environment" ni hekima, ambayo si zao la shule bali zao la akili ya kuzaliwa pamoja na uzoefu (experience) wa maisha. Expereience huwa inatokana na urefu wa muda ambao mtu ameutumia akiwa ana-interact na mazingira yake.
Kinachokupelekea wewe kumsifu Msukuma hapa, ni hekima ya Msukuma ambayo si zao la shule. Ni zao la nature pamoja na experience. Kama hekima ingekuwa inatokana na shule, wazee walioko kijijini ambao hawajui kusoma wala kuandika, wangekukwa ni vituko kijijini. Cha ajabu, wazee hao ndiyo wanaotegemewa hata na wasomi wengi wanaostaafu na kurudi kwenda kushi kijijini. Hekima haitokani na elimu ya darasani, isipokuwa mwenye elimu ya darasani ana uwezo mkubwa zaidi wa kuweza kui-harness's hekima yake ikawa juu zaidi ya ilivyotarajiwa kuwa
 
Hitimisho hekima inatokana na elimu,umri,experience.
Elimu hapa haikwepeki maana inakupa knowledge na interaction ya watu mbalimbali
 
Hitimisho hekima inatokana na elimu,umri,experience.
Elimu hapa haikwepeki maana inakupa knowledge na interaction ya watu mbalimbali
Kwa hiyo wale ambao hawakusoma hawana hekima si ndiyo? Una uhakika kuwa wale waote ambao hawajasoma au wale unawaizdi elimu wewe, unawazid hekima pia? Sikiliza vizuri unapokuwa unafundishwa
 
Kwa hiyo wale ambao hawakusoma hawana hekima si ndiyo? Una uhakika kuwa wale waote ambao hawajasoma au wale unawaizdi elimu wewe, unawazid hekima pia? Sikiliza vizuri unapokuwa unafundishwa
Soma vizuri hitimisho,nimetaja vitu vitatu:umri,experience na elimu
 
Soma vizuri hitimisho,nimetaja vitu vitatu:umri,experience na elimu
Ondoa elimu ya darasani, hiyo siyo lazima, ila inaweza kuwa kichocheo tu kwa mtu aliye smart zaidi kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…