Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

Pelekeni watoto shule.
Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi.

Education is better than money....Am sorry..Money is better than Education

Watanzani tuna ujinga mmoja,kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi,na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo wakaamua kucheza na akili zetu

Nitoe mifano ya marais wawili JK na JPM.

Tuanze na JK,huyu alijua hii kitu akajifanya masikini kwa miaka ishirini ili tumuone ni mwenzetu na akawin.
Mara kadhaa nimekunywa nae supu Kinondoni Hugo house,mara kadhaa nilimkuta Saigon akicheza drafr,au pale magomeni karibu ba shibam akinywa kahawa.
Kuna siku akiwa waziri wa mambo ya nje tulipanga nae foleni CRDB Holand House Branch kwenye foleni ya kuelejea ATM,akatoa pesa àkaingia kwenye lile dude plate number W NJ

Kipindi hicho hapa Dar ana nyumba moja tu karibu
na ofisi ya Zantel,jirani na Dokta Peter Kasiga,tena nyumba yenyewe ni ya kulazimishwa kununua na JPM na BWM.mwanzoni aligoma kabisa kununua hiyo nyumba ya serikali,akakumbushwa ule usemi wa Join us or Leave us.

Kama angekufa kipindi hicho nyumba pekee ambayo angejisifu kuwa alijenga ni ile ya Bagamoyo karibu na uwanja wa mpira,nyumba ya kawaida hata mimi mdukuzi ninayo.
Pale msoga ulikuwa msitu tu wa ngedere

Watoto wake wote walisoma hapa nchini
Tukamuona mwenzetu tukampa nchi

Baada ya kustaafu,Msoga ni kijiji ndani ya kijiji,makazi rasmi kwa Dar yamehama toka mikocheni mpaka Masaki

Tuje kwa JPM huyu alijifanya mnyonge na masikini,mara kala kwa mama lishe,nara kala mahindi ya kuchoma barabarani ili tumuone ni mwenzetu.
Huwezi kuwa waziri wa ujenzi miaka zaidi ya 15 ukawa mwenzetu.
Kilometer moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5,kasimamia km ngapi nchi hii.
Mshahara wa ubunge,mshahara wa uwaziri,perdiem,nk usimchukulie poa.

Kule kwao aliamua kuwekeza kwenye hotel kwa lengo moja tu,kuufungua mji wa chato upate wageni na uwe na hadhi,alipapebda sana nyumbani,lakini hakutaka watu wajue kuwa anamiliki hotel.

IKULU DSM.
Rais anazungumza na wadau wa sekta ya madini,mkutano uko live radioni na kwenye TV karibu zote wabunge wa majimbo yenye madini wanaalikwa akiwemo DK Musukuma
Muda wa maswali ba kuchangia hoja unafika,DK Musukuma anapewa Mic ,anaanza kuwachongea TRA na anatoa mfano,namnukuu,""Mheshimiwa Rais wewe mwenyewe una Hotel na unaelewa .......""

JPM akashusha mawani akamuangalia akajifanya kama abachora chora hivi ,mara akajifanya kama anajikuna,

Baada ya ule mkutano Dk Musukuma anaambiwa asiondoke asubiiri

Jioni anapakizwa kwenye gari ya polisi mpaka lupango kwa siku tatu.

Uzuri Dk Musukuma ni mtu wa masihara wala hakuwa na beef na JPM alikuwa anafanya kama utani wa mtu na babu yake
 
Huu ni msingi aliouasisi baba hakuwahi kujilimbikizia mali kama pesa mjumba ya kifahari ndani ya nchi wala nje ya nchi na kwa muda aliokaa madarakani angeweza sana maana watanzania wengi wakati huo hawakuwa na elimu na ufahamu kama ilivyo Leo kwa hiyo huu ni utamaduni aliouanzisha baba na tumeuiga na kuukubali maana huwezi kuwa rais wetu Hulu unajikusanyia mali kwa tamaa wewe na familia yako hatutakuelewa na hiyo ndiyo inayowafanya wafiche Mali wanazomiliki.
 
Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money....Am sorry..Money is better than Education

Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi,na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo wakaamua kucheza na akili zetu

Nitoe mifano ya marais wawili JK na JPM.

Tuanze na JK,huyu alijua hii kitu akajifanya masikini kwa miaka ishirini ili tumuone ni mwenzetu na akawin. Mara kadhaa nimekunywa nae supu Kinondoni Hugo house,mara kadhaa nilimkuta Saigon akicheza drafr,au pale magomeni karibu ba shibam akinywa kahawa.

Kuna siku akiwa waziri wa mambo ya nje tulipanga nae foleni CRDB Holand House Branch kwenye foleni ya kuelejea ATM,akatoa pesa àkaingia kwenye lile dude plate number W NJ.

Kipindi hicho hapa Dar ana nyumba moja tu karibu na ofisi ya Zantel,jirani na Dokta Peter Kasiga, tena nyumba yenyewe ni ya kulazimishwa kununua na JPM na BWM. mwanzoni aligoma kabisa kununua hiyo nyumba ya serikali, akakumbushwa ule usemi wa Join us or Leave us.

Kama angekufa kipindi hicho nyumba pekee ambayo angejisifu kuwa alijenga ni ile ya Bagamoyo karibu na uwanja wa mpira,nyumba ya kawaida hata mimi mdukuzi ninayo. Pale msoga ulikuwa msitu tu wa ngedere
Watoto wake wote walisoma hapa nchini, Tukamuona mwenzetu tukampa nchi.

Baada ya kustaafu, Msoga ni kijiji ndani ya kijiji, makazi rasmi kwa Dar yamehama toka mikocheni mpaka Masaki.

Tuje kwa JPM huyu alijifanya mnyonge na masikini,mara kala kwa mama lishe,nara kala mahindi ya kuchoma barabarani ili tumuone ni mwenzetu.

Huwezi kuwa waziri wa ujenzi miaka zaidi ya 15 ukawa mwenzetu. Kilometer moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5, kasimamia km ngapi nchi hii. Mshahara wa ubunge, mshahara wa uwaziri, perdiem, nk usimchukulie poa.

Kule kwao aliamua kuwekeza kwenye hotel kwa lengo moja tu,kuufungua mji wa chato upate wageni na uwe na hadhi,alipapebda sana nyumbani,lakini hakutaka watu wajue kuwa anamiliki hotel.

IKULU DSM.
Rais anazungumza na wadau wa sekta ya madini, mkutano uko live radioni na kwenye TV karibu zote wabunge wa majimbo yenye madini wanaalikwa akiwemo DK Musukuma.

Muda wa maswali ba kuchangia hoja unafika,DK Musukuma anapewa Mic ,anaanza kuwachongea TRA na anatoa mfano,namnukuu, "Mheshimiwa Rais wewe mwenyewe una Hotel na unaelewa .......""

JPM akashusha mawani akamuangalia akajifanya kama abachora chora hivi, mara akajifanya kama anajikuna.

Baada ya ule mkutano Dk Musukuma anaambiwa asiondoke asubiiri, Jioni anapakizwa kwenye gari ya polisi mpaka lupango kwa siku tatu.

Uzuri Dk Musukuma ni mtu wa masihara wala hakuwa na beef na JPM alikuwa anafanya kama utani wa mtu na babu yake.
Zuzu sana
 
Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money. Am sorry. Money is better than Education

Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi,na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo wakaamua kucheza na akili zetu

Nitoe mifano ya marais wawili JK na JPM.

Tuanze na JK,huyu alijua hii kitu akajifanya masikini kwa miaka ishirini ili tumuone ni mwenzetu na akawin. Mara kadhaa nimekunywa nae supu Kinondoni Hugo house,mara kadhaa nilimkuta Saigon akicheza drafr,au pale magomeni karibu ba shibam akinywa kahawa.

Kuna siku akiwa waziri wa mambo ya nje tulipanga nae foleni CRDB Holand House Branch kwenye foleni ya kuelejea ATM,akatoa pesa àkaingia kwenye lile dude plate number W NJ.

Kipindi hicho hapa Dar ana nyumba moja tu karibu na ofisi ya Zantel, jirani na Dokta Peter Kasiga, tena nyumba yenyewe ni ya kulazimishwa kununua na JPM na BWM. mwanzoni aligoma kabisa kununua hiyo nyumba ya serikali, akakumbushwa ule usemi wa Join us or Leave us.

Kama angekufa kipindi hicho nyumba pekee ambayo angejisifu kuwa alijenga ni ile ya Bagamoyo karibu na uwanja wa mpira, nyumba ya kawaida hata mimi mdukuzi ninayo. Pale msoga ulikuwa msitu tu wa ngedere.

Watoto wake wote walisoma hapa nchini, Tukamuona mwenzetu tukampa nchi.

Baada ya kustaafu, Msoga ni kijiji ndani ya kijiji, makazi rasmi kwa Dar yamehama toka mikocheni mpaka Masaki.

Tuje kwa JPM huyu alijifanya mnyonge na masikini,mara kala kwa mama lishe,nara kala mahindi ya kuchoma barabarani ili tumuone ni mwenzetu.

Huwezi kuwa waziri wa ujenzi miaka zaidi ya 15 ukawa mwenzetu. Kilometer moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5, kasimamia kama ngapi nchi hii. Mshahara wa ubunge, mshahara wa uwaziri, perdiem, nk usimchukulie poa.

Kule kwao aliamua kuwekeza kwenye hotel kwa lengo moja tu,kuufungua mji wa chato upate wageni na uwe na hadhi,alipapebda sana nyumbani,lakini hakutaka watu wajue kuwa anamiliki hotel.

IKULU DSM.
Rais anazungumza na wadau wa sekta ya madini, mkutano uko live radioni na kwenye TV karibu zote wabunge wa majimbo yenye madini wanaalikwa akiwemo DK Musukuma.

Muda wa maswali ba kuchangia hoja unafika,DK Musukuma anapewa Mic ,anaanza kuwachongea TRA na anatoa mfano,namnukuu, "Mheshimiwa Rais wewe mwenyewe una Hotel na unaelewa .......""

JPM akashusha mawani akamuangalia akajifanya kama abachora chora hivi, mara akajifanya kama anajikuna.

Baada ya ule mkutano Dk Musukuma anaambiwa asiondoke asubiiri, Jioni anapakizwa kwenye gari ya polisi mpaka lupango kwa siku tatu.

Uzuri Dkt. Musukuma ni mtu wa masihara wala hakuwa na beef na JPM alikuwa anafanya kama utani wa mtu na babu yake.
Kebbys
Opposite na NECTA offices, Bagamoyo rd.
 
Mwacheni alale pepa peponi Mzee wa watu
 
Msukuma pamoja na kwamba hajaenda shule ila jamaa yupo vizuri sana upstairs. Muone vilevile Yule jamaa yupo vizuri
Kinachomfanya mtu awe "in harmony with his environment" ni hekima, ambayo si zao la shule bali zao la akili ya kuzaliwa pamoja na uzoefu (experience) wa maisha. Expereience huwa inatokana na urefu wa muda ambao mtu ameutumia akiwa ana-interact na mazingira yake.
Kinachokupelekea wewe kumsifu Msukuma hapa, ni hekima ya Msukuma ambayo si zao la shule. Ni zao la nature pamoja na experience. Kama hekima ingekuwa inatokana na shule, wazee walioko kijijini ambao hawajui kusoma wala kuandika, wangekukwa ni vituko kijijini. Cha ajabu, wazee hao ndiyo wanaotegemewa hata na wasomi wengi wanaostaafu na kurudi kwenda kushi kijijini. Hekima haitokani na elimu ya darasani, isipokuwa mwenye elimu ya darasani ana uwezo mkubwa zaidi wa kuweza kui-harness's hekima yake ikawa juu zaidi ya ilivyotarajiwa kuwa
 
Hitimisho hekima inatokana na elimu,umri,experience.
Elimu hapa haikwepeki maana inakupa knowledge na interaction ya watu mbalimbali
 
Kwa hiyo wale ambao hawakusoma hawana hekima si ndiyo? Una uhakika kuwa wale waote ambao hawajasoma au wale unawaizdi elimu wewe, unawazid hekima pia? Sikiliza vizuri unapokuwa unafundishwa
 
Soma vizuri hitimisho,nimetaja vitu vitatu:umri,experience na elimu
 
Ondoa elimu ya darasani, hiyo siyo lazima, ila inaweza kuwa kichocheo tu kwa mtu aliye smart zaidi kichwani.
 
Back
Top Bottom