Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

Wew upo kwenye kundi gani mkuu? La wasomi au darasa la saba?
Lkn mkuu umekosea Drs la saba kwani siyo Msomi baba!!!
Kukaa shule miaka seven si jambo la kisport sport!! Au

Ni msomi punguani asiyejiamini??
 
Dawa ya kuwapunguza hawa kenge kwenye chombo mhimu cha kuwakilisha wananchi ni ku-set academic qualifications kwa mtu kugombea nafasi nyeti kama ya ubunge. Dunia imebadilika sana tunahitaji smart and focused mind kuwawakilisha wananchi. Ifike mahali hawa darasa la tatu A walisaidie taifa kalika nafasi nyingine. SIYO UBUNGE. Kwa mtizamo wangu hata mwenyekiti wa mtaa anapaswa angalau awe amehitimu kidato cha nne.
Ova.
Kudos!!
Hapa ndipo unaweza kuona jinsi WASOMI wa Tanzania wasivo thaminiwa! Bunge limejaza ma-lumpens wabbabaishaji halafu Bunge linawashangilia.....Nonsense!
Ni aibu Bunge la Tanzania karne ya 21 limejaza Darasa la 3A na la Saba(VII) na ilhali tuna Graduates kibao wako mtaani wana endesha Bajaj na Bodaboda.....!!!
Mtu anakopeshwa mamikioni na Bodi ya Mikopo lakini hapewi fursa ya ajira kupitia Ubunge....Aibu.
 
Mimi ninachoamini mtu aliyesoma anajua vitu vingi vingi sana ambavyo hao wakina msukuma hawajui degree ni Elimu kubwa sana. Sijui wabunge wasomi Wanamuogopa kumjibu ndio maana anavimba kichwa na kuwa nanga, hakusoma tu akubali au arudi shule umri na umbo vinamruhusu.
wasomi wanajua huyu ni chuki tu. itakuwa vurugu.
Wanamshusha kisomi.na kumjibu kisomi hkn anae muunga mkono.

Wasomi wanajua Mtiririko wa kuchuma mali Duniani ni familia 14 tuu!
Siku akisoma akaelimika atajuta sana. Na kujiona mjinga mnooo!
 
Back
Top Bottom