Mbunge Musukuma na simu yake

Acha kukariri wewe, msukuma anatumia iPhone ya bei si chini ya milioni mbili.
 
Sio Burehapo kuna kitu
 
Mkuu ina maana kifaa cha electronic kinacho access information ni simu pekee? Tutajuaje labda anatumia PC, au IPAD etc.
 
Mkuu ina maana kifaa cha electronic kinacho access information ni simu pekee? Tutajuaje labda anatumia PC, au IPAD etc.


PC huibebi mkononi, by the time unafika nyumbani au ofisini kufungua mtandao na email unakuta concern ya wananchi ishakuwa old chesnut, uko nyuma ya wapiga kura wako wenye TECNO za elfu 80. Bomba limepasuka, nyumba zimeungua, watu wanataka kukutumia picha, waanze ku attach ma faili ya email? Email yako wanayo?

Acha kukariri wewe, msukuma anatumia iPhone ya bei si chini ya milioni mbili.


Ukisema IPHONE ya milioni mbili anayo, IPAD anayo, then unakubaliana na mimi kwamba ni kweli, ki tochi cha raba bendi hakifai!
 
Bangi Mbaya sana aisee
 
Huyu jamaa ni shida uko kwao ni mfalme jumapili hubeba watu bure kuwaleta mjini hakika ni King msukuma..... Sio Simu tu hata yeye akifa wasukuma wako tayari kumweka makumbusho
 
Hilo ni tusi kwa vijana wasomi. Anamiliki simu ya milioni moja lakini hana hata mtaji wa laki tano anaililia serikali ajira, Hana hata chumba kimoja amepanga lakini kila siku anabadilisha magari na yupo mitandaoni anaangalia toleo jipya. Yeye musukuma ni darasa la saba anamiliki mali kibao lakini maisha yake ni simple.
 
Majitu ya Kanda ya Ziwa ni mashirikina tu kuanzia Magusto hadi Bashite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…