Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
- Thread starter
-
- #61
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alisimama Longido kipindi cha kampeni mbele ya wazee akawaambia ''King niko hapa, anayeweza kushindana na mimi ajaribu'' akamwita Dr Kiruswa akamwambia "Mimi ndio King, ukiona King kaja hapa ujue wewe ndio mbunge, hongera sana umeshashinda mimi ndio King" sasa mnashangaa anaking'ang'ania hicho kitochi huwezi juwa kinamsaidiaje bushitronically!ππππ
Mkuu tunajaribu kuangalia simu yake ila ukisema kafanya au hajafanya haihusiaani sana kikubwa ni wakati tuliopo simu aliyonyo na majibu ya kutetea yeye kumiliki hiyo simu!Kama uliiona hiyo video vizuri, anayo smartphone nyingine nzuri tu, ila alisema hiyo hatupi ng'o!
jaribu kumfuatilia usimjaji kirahisi hivyo, amefanya mambo mengi sana jimboni kwake, mengine kwa pesa zake mwenyewe!
Utajiri kwani ni kipimo cha upeo Mkuu?Jamaa ni kichwa na ana upeo kuliko hata hao walioenda shule na ndio maana ni tajiri, tena tajiri haswa!
Mbwa kala mbwa hapo!Hivi huyu na yule Kibajaji nani akili yake ina afadhali?
I phone ina ukali gani ?Msukuma ni moja ya watu wenye pesa ndefu.
Halafu mnaodhani eti anatumia hicho kitochi mko wrong, jamaa ana iPhone Kali balaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kukariri wewe, msukuma anatumia iPhone ya bei si chini ya milioni mbili.
Sawa mkuuMsukuma ni moja ya watu wenye pesa ndefu.
Halafu mnaodhani eti anatumia hicho kitochi mko wrong, jamaa ana iPhone Kali balaa!
Point yangu ni kwamba hata smartphone anayo, halafu ishu nyingine kuna wachangiaji humu wanajaribu kulink hiyo ishu ya simu na upeo wake, trying to imply that he is kind of an idiot which I dont agree!Mkuu tunajaribu kuangalia simu yake ila ukisema kafanya au hajafanya haihusiaani sana kikubwa ni wakati tuliopo simu aliyonyo na majibu ya kutetea yeye kumiliki hiyo simu!
Hapa I was portraying that he isnt an idiot, he is running several big businesses successfully! it takes a smart person to be able to do and maintain hizi biashara kubwa, and here im not talking about his transport business.Utajiri kwani ni kipimo cha upeo Mkuu?
Acha kufurahisha, kwa hiyo hao wanaoenda na wakati wanamzidi nini tajiri MSUKUMA. Hiyo simu ni funzo tosha kwa Watanzania kuacha maisha ya kuiga kwa kumiliki simu ya laki 5 wakati kitanda huna. Huyo ndo tajiri KING MSUKUMA, wenye kufatilia udaku mitandaoni wataishia kuwa masikini.Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...
...lami zikikongoroka atasema jazeni kifusi
...IV Fluids zikiisha mahospitalini atasema wapeni maji ya chumvi
.... wananchi wanakutumia picha na documents za vitu vinavyohitaji attention wewe una kitochi hakiwezi kuzifungua
... wananchi wake wenye TECNO za laki moja wako more informed na ulimwengu kwa vile huyu amepitwa na mapinduzi ya habari, hajui kinachoendelea nchini wala duniani kwa sababu anapata taarifa zake kwa kusubiri gazeti la kesho au taarifa ya TBC
Ndio upeo wake. Hatuwezi kupata maendeleo na watu kama hawa wenye simu za raba bendi!
Kuna mwingine anajiitwa BEGWE, wote hao watatu ni wachekeshaji.Hivi huyu na yule Kibajaji nani akili yake ina afadhali?
Duh...kumbe utajiri ndo kila kitu?Acha kufurahisha, kwa hiyo hao wanaoenda na wakati wanamzidi nini tajiri MSUKUMA. Hiyo simu ni funzo tosha kwa Watanzania kuacha maisha ya kuiga kwa kumiliki simu ya laki 5 wakati kitanda huna. Huyo ndo tajiri KING MSUKUMA, wenye kufatilia udaku mitandaoni wataishia kuwa masikini.
lakini utajiri bila mtoto ni kazi bure.Duh...kumbe utajiri ndo kila kitu?
Halafu yule bwege akiwa anaongea kama vile anavaibrate { BEGWE mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]}Kuna mwingine anajiitwa BEGWE, wote hao watatu ni wachekeshaji.
Nilitegemea kukutana na comment kama hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duu aise haiishi haraka kichwani
Mambo ya African chemistry hayaHabati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine...
Namnukuu
βSimu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma
Toa maoni yako
View attachment 786058
Kumbe hana mtoto tena?lakini utajiri bila mtoto ni kazi bure.