Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
- Thread starter
- #61
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alisimama Longido kipindi cha kampeni mbele ya wazee akawaambia ''King niko hapa, anayeweza kushindana na mimi ajaribu'' akamwita Dr Kiruswa akamwambia "Mimi ndio King, ukiona King kaja hapa ujue wewe ndio mbunge, hongera sana umeshashinda mimi ndio King" sasa mnashangaa anaking'ang'ania hicho kitochi huwezi juwa kinamsaidiaje bushitronically!😀😀😀😀