Mbunge Musukuma: Siamini kama CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani

Kwa Muktadha wake kwamba hawana Mbunge Bungeni yupo SAHIHI ila kwa muktadha wa kuwa chama kinachopendwa na kuwa na wanachama wengi hayupo SAHIHI.
 
Hiyo ni imani na hayo ni maoni ya mtu aliyeishia darasa la saba
 
Punga la kizimkazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…