Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

Mtu kakiri uhujumu uchumi. Afu kweli eti agombee Uongozi nchi hii. Sasa. Hata Kama ni kidumu Chama Cha Mapinduzi si kwa kusigina Sheria za nchi.

Aendelee kumiliki mapisto yake, Uongozi aachie wenye sifa
Hapo ndipo utajuwa kwamba kuna wananchi na wenye nchi.
 
Nadhani CCM hawata mpa nafasi tena huyu. Hiyo faini ndogo sana kwa kosa lenyewe
 
Hii mijitu sijui kwanini huwaga haijifunzi,,hii awamu unatakiwa ukae kwa kutulia hasa,,vinginevyo unatafuta shida tu,,,sasa nyamapori kitu gani mbele ya uhai?,maana unaweza kupewa uhujumu uchumi ukakaa rumande miaka 10 na ukatoka kwa kulipa mamilioni,,,sasa utamlaumu nani?.
Huyu mwarabu msukuma anakichwa kigumu sana
 
🤔🤔🤔Aiseee! Harafu akitoka hapo anaenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Kishapu! La, kuwa CCM ni raha kweli kweli.Inawezekana huenda ni mfadhiri mzuri wa Chama!
Nawaza angekuwa Mbowe sijui ingekuwaje?
 
Jangili nguli kama hilo lililokua linamaliza wanyamapori wetu na kuhujumu uchumi wa nchi limeachiwa huru kisa tu liko CCM!!

Nakumbuka Sugu (CDM) alihukumiwa kwenda jera kisa tu kumkosoa raisi. Double standard.

WaTz mnakwama wapi! mbona tumepoa sana.
 
Hii serikali, hawaoni aibu? Na hao mahakimu, hawamjui hata Mungu? Wale wote wanaosota rumande miezi, miaka, nenda rudi! Tito Magoti kapakaziwa 17m, miezi sita yuko ndani, upelelezi haujakamilika! Mjue Mungu wetu yupo, amewaweka kiporo tu, siku ikifika mtalia na kusaga meno!
 
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru.

i/Nchambi amekabilia na makosa 9 na kutakiwa kulipa Shilingi Milioni 22.5.

ii/Yahya Soud amekabiliwa na makosa 4 amelipa Shilingi Milioni 7.

iii/Abdala Soud, makosa 2, amelipa Shilingi Milioni 3.

Pia soma
- Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

- Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12
Ukiwa na hela nchi hii unapeta tu,
Huyu kesi ya uhujumu uchumi,alipata dhamana,na amelipa faini kiduchu,yupo kitaa anapeta,na bungeni anarudi,
Yule boss wa MSD,kesi ya uhujumu uchumi,hakuna dhamana,yupo ndani,Kabendela kesi ya uhujumu uchumi,kasoteshwa jera,mpaka akaomba po!na faini ndeefu zaidi ya million 100
 
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru.

i/Nchambi amekabilia na makosa 9 na kutakiwa kulipa Shilingi Milioni 22.5.

ii/Yahya Soud amekabiliwa na makosa 4 amelipa Shilingi Milioni 7.

iii/Abdala Soud, makosa 2, amelipa Shilingi Milioni 3.

Pia soma
- Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

- Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12
Aiseeee !!
 
Kesi ya kuandamana bila kibali ya Chadema Mil.300 hii ndio Tanzania
 
Kwa inshu hii siwaoni wale wanaojiita mafisiem Ku comment chochote wapo kimyaaa kama wamelowa
 
Sasa shikwa wewe na kabunduki kamoja utakuwa mfano kwa jamii,CCM ni corona.
 
Hapa ndy anapotuzidi mzungu maarifa, sisi waafrica,,yaani mtu anayefilisi Mali asili za taifa ndy kipaumbele chetu Africa..tunafunga watu maisha kwa kesi za hovyo kabisa..,,kuna watu jela hawajahukumiwa mwaka wa kumi huu,,kama tatizo ni faini basi wawapeleke mahakamani kama watashindwa Kulipa faini,,,yaani kesi hata haijamaliza miezi miwili hukumu tayari,,,tena nyepesi kabisa,,duu....kesi kama hyo ulaya ni miaka isyopunguwa kumi...na faini juu....Africa...I can't breath,...kweli Africa ni kama mwituni..
 
Alafu baada ya hapo anatangaza nia ya kugombea tena ubunge kisha anachaguliwa

Hiki chama cha Ccm ni laana kubwa sana hapa TZ
 
Back
Top Bottom