Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ukiwa na chapa jela inakuogopa.Kwanza kesi isingeendeshwa kwa mwendo kasi kama hii. Angesota rumande bila dhamana kwa miaka kadhaa kama akina Ruge na Seth.
Huna chapa utasubiria sana ushahidi hata miaka 8 kwa kudokoa elf 2 sababu ya njaa.
Pana jamaa elf 20 kakaa ndani mwaka ulipotoka waraka wa kuomba msamaha ili ununue Uhuru wako akaununua kwa milioni moja na nusu plus kukosa na kazi.Lakini pana mijizi ya mabilioni sababu ni waimba kwaya wazoefu jela zinawaogopa.