Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Hapo ndipo utajuwa kwamba kuna wananchi na wenye nchi.Mtu kakiri uhujumu uchumi. Afu kweli eti agombee Uongozi nchi hii. Sasa. Hata Kama ni kidumu Chama Cha Mapinduzi si kwa kusigina Sheria za nchi.
Aendelee kumiliki mapisto yake, Uongozi aachie wenye sifa
Zile mlizomchangia DJ zjlikuwa shilingi ngapi vile?Angekuwa ni Mbunge wa chama pinzani faini ingekuwa zaidi ya milioni mia
Angekuwa ni Mbunge wa chama pinzani faini ingekuwa zaidi ya milioni mia
Ukiwa na hela nchi hii unapeta tu,
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru.
i/Nchambi amekabilia na makosa 9 na kutakiwa kulipa Shilingi Milioni 22.5.
ii/Yahya Soud amekabiliwa na makosa 4 amelipa Shilingi Milioni 7.
iii/Abdala Soud, makosa 2, amelipa Shilingi Milioni 3.
Pia soma
- Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536
- Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12
Aiseeee !!

Kesi ya kuandamana bila kibali ya Chadema Mil.300 hii ndio Tanzania
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Masoud Nchambi (CCM), pamoja na wenzake wawili wamekiri makosa dhidi ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya Uhujumu Uchumi, na kuamuliwa kulipa faini kila mmoja au kwenda Jela, ambapo wote wamelipa faini na kuachiwa huru.
i/Nchambi amekabilia na makosa 9 na kutakiwa kulipa Shilingi Milioni 22.5.
ii/Yahya Soud amekabiliwa na makosa 4 amelipa Shilingi Milioni 7.
iii/Abdala Soud, makosa 2, amelipa Shilingi Milioni 3.
Pia soma
- Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536
- Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12
Thubutuuuu...watampa tuHayawezi kurudi.
Yanataifishwa.
Wengi wapo jela sababu hawana pesa za kununua Uhuru wao kwa kuwezalipa fine,honga wapelelezi,nk.Kesi zinamalizwa kisela sana