Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

Kwanza kesi isingeendeshwa kwa mwendo kasi kama hii. Angesota rumande bila dhamana kwa miaka kadhaa kama akina Ruge na Seth.
Ukiwa na chapa jela inakuogopa.
Huna chapa utasubiria sana ushahidi hata miaka 8 kwa kudokoa elf 2 sababu ya njaa.
Pana jamaa elf 20 kakaa ndani mwaka ulipotoka waraka wa kuomba msamaha ili ununue Uhuru wako akaununua kwa milioni moja na nusu plus kukosa na kazi.Lakini pana mijizi ya mabilioni sababu ni waimba kwaya wazoefu jela zinawaogopa.
 

Haya maigizo sasa yafikie mwisho. Ukubwa wa kosa na faini haviendani. Ghrrrrh!.
 
Angekuwa ni Mbunge wa chama pinzani faini ingekuwa zaidi ya milioni mia
Faini? Kwa kesi ya uhujumu uchumi wa upinzani angefungwa bila faini na jimbo lake lingetangazwa haraka lipo wazi kama muda ungekuwa unaruhusu
 
Huyo mtu alitakiwa apigwe jela hata mwaka ,maana hiyo hela ni ndogo akirudi uraiani akipiga kazi ya usiku moja mbugani anarudisha hiyo hela kwa meno ya tembo mmoja
 
Mahakama iko mikononi mwa yesu fake wa chato hivyo kama mtenda madhambi ni wa genge la wahuni basi anapeta tu kwa raha zake.
[/QUOTE

Hukumu ya kihuni sana hii.
 
Reactions: BAK
Kweli kabisa huna chapa unaozea ndani!
 
Kesi ya kumiliki silah kinyeme na utaratibu sio uhujumu..silaha nyingi ni za urithi wa ndugu zake ambazo alikuwa kazifungi ndani na zinavibali na majina ya hao ndugu zake zote halali..hivyo kosa ni kumilikikinyume na utaratibu..
 
Kazi kwa Magufuli sasa
 
Kupigana na rushwa na ufisadi kwa matabaka hakutaondoa rushwa/ufisadi bali kutabadilisha makundi tu!
 
Tito magoti na mwenzake

Milioni 17 tu mpaka leo
Hakuna hata dhamana, wanaozea jela

Hili jambazi namabunduki yake sijuwi limeuwa tembo wa ngapi
Miaka mingapi
Na nyati wangapi
Miaka mingapi
Na faru wangapi
Miaka mingapi na
twiga wangapi
Miaka mingapi na
Na chuwi wangapi nknk
Halafu faini m22?

Ccm ni tatizo zaidi ya ushenzi, ujinga na upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…