Mbunge Nchambi na wenzake 2 wakiri makosa ya uhujumu uchumi na kulipa faini

Halima mdee aliandamana faini mil 200 huko.
Hii dunia kama ya kwao
 
Mabunduki ya CCM

ANGEKUWA MPIZANI
hakuna dhamana
Hakuna faini
Kifungo miaka 50.

Ila kwa vile ccm nikupeana mali za siri
Kwenye hukumu ya huyu BURUSHI, kuna mambo yamenishangaza.
---Amekutwa na makosa 9, (mengi kuliko wenzie wawili),kapigwa faini Tsh 22.5M (fedha nyingi kuliko wenzie) . Au aende jela miezi mitatu (michache sana kuliko wenzie. Wenzie ni mwaka mmoja mmoja).
--Wenzie: -
Mshtakiwa wa pili, makosa manne, faini ya Tsh 7M .
Mshtakiwa wa tatu, makosa mawili faini Tsh 3M.
 
Awamu hii kila kitu kinawezekana
Kosa la wazee wa escrow ni kutoamkia wakubwa watafia jela,pona yao wadhikiri Sana watz wawe na akili October,bila hivo ushahidi kukamilika wausubirie Hadi 2040.Wakiendekeza ligi pale ndio kiwandani kabisa watachezea ligi zote za bara na pwani.Waubusu na kuisujudia Sanamu ili waokoke.
Afrika jela no kwa ajili ya masikini sababu hawana pesa za kununua Uhuru wao, ukimuona tajiri jela kaingia 18 za watawala ananyooshwa anyooke kwa pasi ya Moto wa makaa.
 
Hizi kesi ni biashara,ukiwa bahiri utaoza
 

Hata yule malikia wa tembo angekuwa ccm au aunge juhudi kesho tu analiona jua la asubui
 
Hao ni baadhi tu ya wezi waliojificha kwenye kichaka ccm.
 
Lugemalila na Singh wamegoma kuibiwa pesa na DPP?!

Lugemalila mwanaume kweli.
 
Linchi la majizi hili! Aibu zake jiwe na wenzake! Hongera Luge kwa kukataa kununua uhuru wako; uhuru ni haki ya kila mtu! Na hii mijitu inadhani itadumu milele! Iko siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…