Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ni biashara gani ya mtandao anayozungumzuia ambayo anataka ilipiwe kodi?Tanzania kuna Platform gani inayofanania na Amazon?
Halijui alinenalo
Ujinga tu tumewaambia Serikali iruhusu paypal ili na Sisi biashara za mitandaoni tuwe tunalipwa hawataki wanataka tuwe tunalipa tu online ukinunua vituYuko sahihi kabisa; Marekani siku hizi majimbo mengi yanatoza kodi mauzo yote ya mitandaoni. Kampuni kama Amazon, maduka yake ni ya mtandanoni na ndiyo yenye mauzo mengi kuliko kampuni yoyote. Sasa iwapo wa offline mwenye mauzo kidogo analipa kodi, iweje online mwenye mauzo mengi asilipe kodi.
Tatizo sasa litakuwa kwenye uhakiki wa hizo biashara za mtandaoni
Serikali kutokukubali matumizi ya Paypal ni kosa, lakini serikali kudai kodi za mauzo ya online ni sahihi.Ujinga tu tumewaambia Serikali iruhusu paypal ili na Sisi biashara za mitandaoni tuwe tunalipwa hawataki wanataka tuwe tunalipa tu online ukinunua vitu
Amazon ni kampuni imesajiliwa Marekani,kampuni hizo zimesajiliwa Marekani ni sahihi kulipa huko kodi
Waruhusu PayPal tupokee pesa kwa mauzo ya vitu vyetu au huduma
Huyo mbunge mwambieni apeleke kwanza hoja ya kulipwa watanzania kupitia PayPal kwanza kuwa hiyo huduma Tanzania itaanza lini?
Posho za wabunge sitting allowance nazo zitozwe too maaamaeeeMbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline [emoji871]".
View attachment 2145753
Unalinganishaje marekani na nchi changa kama Tanzania? Tukilinganisha democracy ya America na bongo mnapinga!!Yuko sahihi kabisa; Marekani siku hizi majimbo mengi yanatoza kodi mauzo yote ya mitandaoni. Kampuni kama Amazon, maduka yake ni ya mtandanoni na ndiyo yenye mauzo mengi kuliko kampuni yoyote. Sasa iwapo wa offline mwenye mauzo kidogo analipa kodi, iweje online mwenye mauzo mengi asilipe kodi.
Tatizo sasa litakuwa kwenye uhakiki wa hizo biashara za mtandaoni
Tunataka democracy kama ya marekani na uhuru wa kutoa maoni kama marekani!!Nimemwelewa hivyo; angalia juzi nilinunua kitu amazon.com, bado nililipia tax. Vile vile, kwa Amazon kuniuzia kitu mtaani kwangu, serikali ya mtaa nayo inapata kodi ya biashara kutoka Amazon. Kwa hiyo serikali inapata kodi mbile: ile ya mauzo kutoka kwangu mnunuzi, na kodi ya biashara kutoka Amazon muuzaji, ingawa ile % ya kodi ya biashara ni ndogo sana kwa biashara za online kulinganisha na zile za offline, lakini bado wanalipa.
View attachment 2145767
Walishaasema unakatwaMbona yeye mshahara wake haukatwi kodi yuko kupiga kelele.
Mtandaoni ni sehemu ya kukutanisha muuzaji na mnunuaji, akilipa kwa njia ya simu kachangia VAT pamoja na tozo. Wanataka nini kingine. Akifika dukani au ofisini anachangia halmashauri na kodi zingine.
Jiwe alilikosea sana ili taifa kuweka watu hao madarakani
Mauzo mengi ni ya kutumia PayPal ambako Tanzania hatujafika bado hayo mengine mbunge anaongea ujinga tuSerikali kutokukubali matumizi ya Paypal ni kosa, lakini serikali kudai kodi za mauzo ya online ni sahihi.
kwa hapa kwetu? Labda watoze kodi za matangazo ya biashara''Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline ✍".
View attachment 2145753
usikute wameshauriana ili aje kusema hivyo kama ilivyokua kwenye tozoMauzo mengi ni ya kutumia PayPal ambako Tanzania hatujafika bado hayo mengine mbunge anaongea ujinga tu
Biashara nyingi za kununua kodi zote ukiagiza nje kodi zote unalipa kabla kuchukua mzigo wako
Mfano unaagiza gari kununua gari online kodi zote unalipa kuanzia za bandari, TRA,kila kitu ndio unachukua gari yako hata kupitia kwa agent au online agents walioko Tanzania
Muulize yeyote aliyewahi nunua kitu online duka liwe Amazon nk ambaye kilipofika nchini hakulipa kodi.Tena kodi yake ya kutisha mno
Mbunge anaongea vitu hewa hewa tu
Naona kama vile unaextend zaidi ya nilivyomwelewa; nimemwelewa akisema biashara za online Tanzania nazo zilipe kodi.Mauzo mengi ni ya kutumia PayPal ambako Tanzania hatujafika bado hayo mengine mbunge anaongea ujinga tu
Biashara nyingi za kununua kodi zote ukiagiza nje kodi zote unalipa kabla kuchukua mzigo wako
Mfano unaagiza gari kununua gari online kodi zote unalipa kuanzia za bandari, TRA,kila kitu ndio unachukua gari yako hata kupitia kwa agent au online agents walioko Tanzania
Muulize yeyote aliyewahi nunua kitu online duka liwe Amazon nk ambaye kilipofika nchini hakulipa kodi.Tena kodi yake ya kutisha mno
Mbunge anaongea vitu hewa hewa tu
Kuna tofauti ya kutafuta wateja mtandaoni na kufanya biashara kwa njia ya mtandao. Watanzania wengi wanatafuta wateja mtandaoni na sio kufanya biashara mtandaoni.
Unakuta mtu ana duka lake Kariakoo na anawapa vijana bidhaa watagute wateja mtandaoni kwa lengo la kuiuza. Kwa mfano huo utasema hiyo ni Online Business?
Ni muhimu kuielewa kwanza dhana ya e-Business kabla ya kufikiria kulipa Kodi.
Hivi bado anaendelea na utafiti wa upungufu wa nguvu za kiume? Isije ikawa katika utafiti kakutana na "cha Msukuma"Kashashiba huyo
Zinalipa mbonaNaona kama vile unaextend zaidi ya nilivyomwelewa; nimemwelewa akisema biashara za online Tanzania nazo zilipe kodi. Amazon siyo biashara ya Tanzania, kwa hivyo hiyohaiingii kwa zile alizolenga. Nadhani kwa Tanzania ukinunu kutoka Amazon ni kama ume-import, na hivyo hiyo itakuwa na kodi zake tofauti, lakini ukinunua kwenye website za Tanzania, inabidi ulipie kodi.
Namuongezea Pepsi ya piliKUNYWA NA PEPSI NALIPA
Faida ya kuwa na wabunge waliopita bila kupingwa baada ya kupewa ubunge na TumeMbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline ✍".
View attachment 2145753
Marekani wana selikali na Tanzania pia wana serikali na serikali zote hujiendesha kwa kodi. In fact Marekani wana sheria kali sana kuhusu kodi. Kuhusu demokrasi ya America sote tunapenda twe nayo hapa kwetu, sijui una maana gani unaponiambia kuwa "mnapinga" kama vile niliwahi kupinga demokrasi ya Marekani isitumike Tanzania.Unalinganishaje marekani na nchi changa kama Tanzania? Tukilinganisha democracy ya America na bongo mnapinga!!
Mimi ni mtu mwema.. Tungeafikiana mambo kadhaaAmegusa anga zako [emoji1] ahahaha.