Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

Tanzania kuna Platform gani inayofanania na Amazon?
Kwa hiyo ni biashara gani ya mtandao anayozungumzuia ambayo anataka ilipiwe kodi?

Ninajua kuwa Tanzania kuna platform kadhaa za aina ya Amazon zinazofanya mauzo online; labda sema kuwa wewe binafsi huzifahamu lakini usiseme kuwa hazipo.

Baadhi yake ni kama ifuatavyo

 
Ujinga tu tumewaambia Serikali iruhusu paypal ili na Sisi biashara za mitandaoni tuwe tunalipwa hawataki wanataka tuwe tunalipa tu online ukinunua vitu

Amazon ni kampuni imesajiliwa Marekani,kampuni hizo zimesajiliwa Marekani ni sahihi kulipa huko kodi

Waruhusu PayPal tupokee pesa kwa mauzo ya vitu vyetu au huduma

Huyo mbunge mwambieni apeleke kwanza hoja ya kulipwa watanzania kupitia PayPal kwanza kuwa hiyo huduma Tanzania itaanza lini?
 
Serikali kutokukubali matumizi ya Paypal ni kosa, lakini serikali kudai kodi za mauzo ya online ni sahihi.
 
Posho za wabunge sitting allowance nazo zitozwe too maaamaeee
 
Unalinganishaje marekani na nchi changa kama Tanzania? Tukilinganisha democracy ya America na bongo mnapinga!!
 
Tunataka democracy kama ya marekani na uhuru wa kutoa maoni kama marekani!!
 
Walishaasema unakatwa
 
Serikali kutokukubali matumizi ya Paypal ni kosa, lakini serikali kudai kodi za mauzo ya online ni sahihi.
Mauzo mengi ni ya kutumia PayPal ambako Tanzania hatujafika bado hayo mengine mbunge anaongea ujinga tu

Biashara nyingi za kununua kodi zote ukiagiza nje kodi zote unalipa kabla kuchukua mzigo wako

Mfano unaagiza gari kununua gari online shops kodi zote unalipa kuanzia za bandari, TRA,kila kitu ndio unachukua gari yako hata kupitia kwa agent au online agents walioko Tanzania

Muulize yeyote aliyewahi nunua kitu online duka liwe Amazon nk ambaye kilipofika nchini hakulipa kodi.Tena kodi yake ya kutisha mno.Waweza apa kutoagiza tena kitu cha dola 20 iambayo ni kama elfu 40 za Tanzania mpaka kukitoa waweza lipa kodi ,tozo nk laki moja

Mbunge anaongea vitu hewa hewa tu
 
kwa hapa kwetu? Labda watoze kodi za matangazo ya biashara''
 
usikute wameshauriana ili aje kusema hivyo kama ilivyokua kwenye tozo
 
Naona kama vile unaextend zaidi ya nilivyomwelewa; nimemwelewa akisema biashara za online Tanzania nazo zilipe kodi.

Amazon siyo biashara ya Tanzania, kwa hivyo hiyohaiingii kwa zile alizolenga.

Nadhani kwa Tanzania ukinunu kutoka Amazon ni kama ume-import, na hivyo hiyo itakuwa na kodi zake tofauti, lakini ukinunua kwenye website za Tanzania, inabidi ulipie kodi.
 

KUNYWA NA PEPSI NALIPA
 
Zinalipa mbona

Haya to cut the story short hizo kampuni za online anazoongelea zinauza njegere,njugumawe na bidhaa tunazozalisha Sisi au zina import tuanzie hapo.Kimport hakuna shida kodi hulipwa zote

Ila kama ni online business zinauza mishkaki ,dawa za kimasai,na asali ya Tabora sawa
Naomba website zao hao wauza local products online ambao hawana duka physical .Natafuta wauza njegere online ambao hawana duka physical niagize njegere
 
Faida ya kuwa na wabunge waliopita bila kupingwa baada ya kupewa ubunge na Tume
 
Unalinganishaje marekani na nchi changa kama Tanzania? Tukilinganisha democracy ya America na bongo mnapinga!!
Marekani wana selikali na Tanzania pia wana serikali na serikali zote hujiendesha kwa kodi. In fact Marekani wana sheria kali sana kuhusu kodi. Kuhusu demokrasi ya America sote tunapenda twe nayo hapa kwetu, sijui una maana gani unaponiambia kuwa "mnapinga" kama vile niliwahi kupinga demokrasi ya Marekani isitumike Tanzania.

Hata hivyo, elewa kuwa demokrasi yoyote inahitaji sana utiifu wa sheria. Kwa marekani wao ni wakali sana kuhusu kutii sheria, unaweza kujua kuwa kuna gavana wa Illinois aliwahi kufungwa kwa kutotii sheria, na vile vile kuna maseneta na wabunge wa congress waliowahi kufungwa kwa kutotii sheria na sasa hivi rais wa zamani wa merakni bwana Trump yuko matatizoni kwa kuvunja sheria.

Kwa hiyo usichanganye uvunjanji wa sheria kwa kivuli cha demokrasi. Ni vizuri ukasema kuwa sheria mbovu zinazohitaji kufutwa, jambo ambalo ni kweli kabisa tuna sheria mbovu, lakini kabla hatujazifuta ni lazima tuzitii kama demokrasi halisi inavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…