Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
"... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya Mikutano Mitano ya Wananchi kwa ajili ya kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi kupitia Wataalam wetu tulioambatana nao..."

"....Rais wetu Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anapotoa idhini ya Fedha za hii Miradi mingi kuja huku kwenye Jimbo letu, Sisi Wawakilishi wenu (Mbunge na Diwani) kazi yetu kuhakikisha kuna kuwa na thamani ya Fedha ili tuwajibike kwa Kodi mnazolipa Ninyi na Sisi..."

Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga.


WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.25.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.26.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.27.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.27(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.30.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-13 at 13.27.31.jpeg
 
Back
Top Bottom