Pre GE2025 Mbunge Nusrat Hanje (CHADEMA) akimpamba Rais Samia kwa kumuimbia mitano tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

COVID 19 sio wabunge wa Chadema na hawakuwepo hata kwenye mkutano. Ni wabunge wa Spika. badilisha topic Chadema wameshasema hili
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Halafu huyu mbona alikua mrembo sana nini kimemkuta kuzeeka mapema hivo?
 
Hili ndio kizazi cha Tanzania unachotegemea nchi ikiingia kwenye crisis kama ile ya 1978 dhidi ya IDI AMIN kisimame kutetea Taifa lao.

Hiki ndio kizazi siku tension na Mhuni PK kutoka Kigali ikiwa kubwa na tukiamua Sasa kukabiliana na adui basi ndio tutakachokutegemea kusonga mbele kwa uzalendo mkubwa.

Tuache kuendekeza ujinga, tujikite Sasa kujenga jamii ya watu seriou, Dunia sio rafiki tena, tumerudi zama za wababe, ukiwa mnyonge unapigwa watu wanasimika bendera wanatangaza Taifa jipya.
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Hakuna adui wa kudumu kwenye siasa..wanasiasa tabia zao ni kama changudoa tu.
 
Chawa wote wa mama watafyekwa na mkno wa Mungu - October si mbali tutakwenda kushuhudia.
Moto uleule uliomuindoa yule mtemi ndiyo utakaotumika.
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

WABUNGE karibu wote wapo Kwa maslahi ya Rais na siyo ya wapiga kura wao
 
Inashangaza sana

Chadema hawapo serious.

Ni kichaa na mpumbavu ndie anaeweza kumpigia kura mtu kama Tundu lissu ambaye kwenye vita ya makinikia na ujenzi wa bwawa la umeme alijionesha wazi wazi yeye ni kibaraka wa mabeberu
 
Lissu atakuwa Rais, CCM si serikali ya haki
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Ni haki yake kumsifia mwenyekiti wake wa Chama
 
Chadema hawapo serious.

Ni kichaa na mpumbavu ndie anaeweza kumpigia kura mtu kama Tundu lissu ambaye kwenye vita ya makinikia na ujenzi wa bwawa la umeme alijionesha wazi wazi yeye ni kibaraka wa mabeberu
Weka ushahidi wa hicho unachokisema
 
Mwaka huu wataisoma namba
 
Back
Top Bottom