Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000 na kuendelea.
Amesema “Wizara haijaamua kusamehe tozo ambazo zinatozwa kwa ng’ombe wanaopelekwa Zanzibar na kuwa kichefuchefu, baadhi ni Tozo ya Wizara ya Mifugo, ya Halmashauri, ya Kijiji, ya TRA, ya TPA na Tozo ya ‘export leave’ ambayo hata mtu wa Kenya akinunua ng’ombe Tanzania anachajiwa.”