Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

... mara hii ameshasahau walivyompora yule mama mjane toka bara ndizi zake mbivu alizoenda kuhemea huko! Haya majamaa ni mabinafsi mno.

Wana vindizi vyao vifupi vile ndio wanaona vya maana[emoji38][emoji38]

Hizi za bara ni za wa kishua na mahotelini.
 
Mbona hajasema kwanini Mafuta na sukari ni bei ya chini zanzibar, umeme je? Ilihari umeme unatoka bara.
Umeme znz ni ghali kuliko bara. Point ya mbunge ninkuqa ng'ombe akitoka T.bara kwenda ZNZ analipishwa kodi kama anasafirishwa nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Ufugaji ni Mojawapo ya kazi ngumu sana kufanya!

Hususa nyakati hizi ambapo maeneo huru ya Mali ago ni adimu.
 
Wanzazibari huwa wanakula nyama ya.ng"ombe mbona nasikia huwa wanakula sana samaki ndio maana wazanzibari wengi hawana visogo shauri ya kula samaki sana wa baharini
 
Umeme znz ni ghali kuliko bara. Point ya mbunge ninkuqa ng'ombe akitoka T.bara kwenda ZNZ analipishwa kodi kama anasafirishwa nje ya mipaka ya Tanzania.

Kwani zanzibar ni nchi? Au ni mkoa wa Tanganyika hadi atake treatment sawa na mikoa ya tanganyika? Mbona bidhaa nyingi watu wa tanganyika hununua kutoka zanzibar na kulipia kodi?
 
Mimi ninataka niwafungulie bucha ya nguruwe nitawauzia buku jero kwa kilo
 
Halafu baadhi hawataki daraja la kuunganisha Dar na Unguja?
 
Elfu 13 ya wapi huku nilipo mm maeneo ya u ndege nyama kilo elfu 12 ukienda Kwerekwe elfu 11
 
Kwan JF Hamna wazanziba watoe ushuhuda
Hiyo ni kweli kabisa!!yaani kule sio kama huku bara,kuna mchanyiko na stake tu!!kule hiyo stake inayouzwa 13000-14,000 sio kama ya barq,inakuwa na mifupa kidogo!!hiyo mchanganyiko unakuta inauzwa 10,000-11000 hahaaa!!ni mifupa ya kupelekea mbwa,sio kwa binadamu,yaani nyama karibia yote imeondolewa!!ndio maana mtu anaona bora tu achukue hiyo ya 14,000!!
 
Hata kulima hawalimi na wanategemea life liwe mteremko.
 
Back
Top Bottom