Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
... mara hii ameshasahau walivyompora yule mama mjane toka bara ndizi zake mbivu alizoenda kuhemea huko! Haya majamaa ni mabinafsi mno.Mbona hajasema kwanini Mafuta na sukari ni bei ya chini zanzibar, umeme je? Ilihari umeme unatoka bara.
Inakuwa nchi moja linapokuwa na faida kwao tu! Otherwise ni wabinafai sana.Kwani ngombe nao ni wa muungano
NAona wanademka na bi tozo kama hawana Akili vile,wafuge waache kukaa vibarazaniHawa Ndugu zetu "wasiponenepa" awamu hii, wasahau.
Eneo dogo hakufugikiWafuge wenyewe waache kulia lia
Mtu mwenye uroho huwa hanenepiHawa Ndugu zetu "wasiponenepa" awamu hii, wasahau.