... mara hii ameshasahau walivyompora yule mama mjane toka bara ndizi zake mbivu alizoenda kuhemea huko! Haya majamaa ni mabinafsi mno.
Umeme znz ni ghali kuliko bara. Point ya mbunge ninkuqa ng'ombe akitoka T.bara kwenda ZNZ analipishwa kodi kama anasafirishwa nje ya mipaka ya Tanzania.Mbona hajasema kwanini Mafuta na sukari ni bei ya chini zanzibar, umeme je? Ilihari umeme unatoka bara.
Umeme znz ni ghali kuliko bara. Point ya mbunge ninkuqa ng'ombe akitoka T.bara kwenda ZNZ analipishwa kodi kama anasafirishwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Nimecheka kwa nguvu sanaKwani ngombe nao ni wa muungano
Hiyo ni kweli kabisa!!yaani kule sio kama huku bara,kuna mchanyiko na stake tu!!kule hiyo stake inayouzwa 13000-14,000 sio kama ya barq,inakuwa na mifupa kidogo!!hiyo mchanganyiko unakuta inauzwa 10,000-11000 hahaaa!!ni mifupa ya kupelekea mbwa,sio kwa binadamu,yaani nyama karibia yote imeondolewa!!ndio maana mtu anaona bora tu achukue hiyo ya 14,000!!Kwan JF Hamna wazanziba watoe ushuhuda
Zanzibar hawazalishi Mafuta wala SukariMbona hajasema kwanini Mafuta na sukari ni bei ya chini zanzibar, umeme je? Ilihari umeme unatoka bara.