Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo neno. Si ajabu hii wiki atakuwa amesafishwa na mahakama na kuonekana hana kosa, hakuna ushahidi, na ni chuki tu na wivu wa watu waliotaka kumuchafulia jina!! Tusishangae kumuona 2025 akiwa m/kiti UWT au Mwenezi wa CCM."usinene ukamala", subiri uchaguzi wa 2025.
usije ukaja kupigwa na kitu kizito pale sisiemu itakapokufanyia surprise, utashangaa anarudi bungeni na kuzawadiwa uwaziri.
Kwann asivuliwe Ubunge mara moja? CCM wana wajibu wa kulinda vijana Aina ya HashimuGekul akubali tu, hiyo ndio imeenda.
Unaibu waziri amepoteza. Ubunge ndio unakwenda kufikia tamati 2025, na harudi tena bungeni. Biashara zake ndio mwanzo wa kufilisika. Hadhi na heshima yake kijamii ndio imekwenda milele.
Ila kweli mfano ni hawa akina Sabaya na Makonda, kama utani vile."usinene ukamala", subiri uchaguzi wa 2025.
usije ukaja kupigwa na kitu kizito pale sisiemu itakapokufanyia surprise, utashangaa anarudi bungeni na kuzawadiwa uwaziri.
Gekul namjua vzr mzeee Mimi sio kama ww ulimjua baada ya jamii forum kureport taarifa zakeKwa hiyo miradi yake yote lazima akuambie.......sisi wabongo!!!!
Palina unataka kusemaje?japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????
Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Ila yeye ndo anahofia usalama wake, iweje tena apewe dhamana??Dhamana ni haki ya mtuhumiwa!.
P
hakuna kesi apo kubwekabweka ni kwingi.Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.
Kaandika hivi:
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.
Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.
Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.
Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.
Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.
Pia soma >>>
1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2. Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Ni mpumbavu mpaka nashangaa alipataje hata iko cheo,kwa level yake angempigia simu moja tu RPC na kijana angebebwa mzobemzobe,chini ya police angetapika ukweli wote badala ya yeye kwenda front,chochote ambacho alitaka kumfanyia yule kijana kama nia ilikuwa kumkomoa baada ya kujua anataka kumuua angeweza kukifanya bila kuchafua mikono yake.japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????
Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Chupa ya nini?Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.
Kaandika hivi:
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.
Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.
Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.
Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.
Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.
Pia soma >>>
1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2. Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Kwa siasa za Tz atasimama tena tuuMaisha ni fumbo, ndani ya muda mfupi amepoteza kila kitu
Msituchanganye bana!Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.
Kaandika hivi:
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.
Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.
Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.
Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.
Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.
Pia soma >>>
1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2. Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Nani amchukie Gekul we Faiza. Anajichukia mwenyeweHapa kunaonesha kuna chuki zaidi ya ukweli.
Palina and Paulinejapo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????
Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Kesi ya Hashim kushinikizwa na wapika majungu.Nani amchukie Gekul we Faiza. Anajichukia mwenyewe
Ingekuwa ni wewe umeingiziwa chupa za soda/bia matakoni ungesema asihukumiwe kwa sababu yeye ni binadamu?japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????
Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Naona umebanwa sehemu ngumu sana unajikuta hujui ushike lipi. Hashimu ni dini yako na Gekul ni ccm mwenzako. Utajua hujui safari hiiKesi ya Hashim kushinikizwa na wapika majungu.