Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Hapa kunaonesha kuna chuki zaidi ya ukweli.
Kwa hiyo yule RPC wa Manyara nae kaungana na wale vijana kumsingizia Paulina?. Kwanini Paulina alipanic hata pale alipotaka kuhojiwa na mwandishi wa habari ili kubalance story na badala yake akakimbilia polisi? PF3 aliyopewa kijana kwenda kutibiwa ilikuwa ya nini kama kweli hakuumizwa? Uchawa hadi kutetea maovu!!
 
Hili nalo neno. Si ajabu hii wiki atakuwa amesafishwa na mahakama na kuonekana hana kosa, hakuna ushahidi, na ni chuki tu na wivu wa watu waliotaka kumuchafulia jina!! Tusishangae kumuona 2025 akiwa m/kiti UWT au Mwenezi wa CCM.
Njaa ni mbaya. !!
Mlalamikaji anaweza akasema hajafanyiwa chochote kibaya ni wivu tu wa watu !!
 
Bado Namtafakari huyu Mama..
Pesa au kipato huwa na tabia tofauti ya kuwafikia waliobahatika,
Kwa wengine hicho kipato huwa kinawatekenya tekenya wanakuwa wanaruka ruka na kwa wengine huwa kipato kinawagonga kichwani wanakuwa wapole na wasiokuwa na majivuno !!
 
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Uthibitisho wa kwamba polisi wetu hawana akili ya kujitegemea na kujitambua, huyu mama si ndiye walikuwa wanaona ana haki na siyo yule kijana!!!
 
Mama wa hovyo kweli, yaani sababu za kijinga, imani za kishirikina kama huo ndio ukweli wenyewe kuna sababu za kuumizana kweli.

Mtu akiroga na we si unaroga kama unaamini uchawi upo. Nchi nzima watu wanalogana kila siku, wabunge karibu wote walogaji hadi kufika hapo. Kipi kipya hadi atende ukatili.
 
Back
Top Bottom