Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

"usinene ukamala", subiri uchaguzi wa 2025.

usije ukaja kupigwa na kitu kizito pale sisiemu itakapokufanyia surprise, utashangaa anarudi bungeni na kuzawadiwa uwaziri.
Hili nalo neno. Si ajabu hii wiki atakuwa amesafishwa na mahakama na kuonekana hana kosa, hakuna ushahidi, na ni chuki tu na wivu wa watu waliotaka kumuchafulia jina!! Tusishangae kumuona 2025 akiwa m/kiti UWT au Mwenezi wa CCM.
 
hakuna kesi apo kubwekabweka ni kwingi.

Ishara za wazi kabisaa mdhulumiwa hata pata haki yake na wala mdhulumati hatapata adhabu stahiki ya haki ..

ni harakati za mihemko na chuki tu
 
japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????


Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Ni mpumbavu mpaka nashangaa alipataje hata iko cheo,kwa level yake angempigia simu moja tu RPC na kijana angebebwa mzobemzobe,chini ya police angetapika ukweli wote badala ya yeye kwenda front,chochote ambacho alitaka kumfanyia yule kijana kama nia ilikuwa kumkomoa baada ya kujua anataka kumuua angeweza kukifanya bila kuchafua mikono yake.
 
Chupa ya nini?

Hapa naona wale ambao vyama vyao havina sera ndiyo wameupatiamo.
 
Msituchanganye bana!
Pauline yeye alalamike polisi, halafu apewe dhamana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…